kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
- Thread starter
- #101
long time I like it
Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali,
kavimba yote mapaja
na kutetemeka mwili
wenzetu mliendelea zamani sana...Halafu madisco karibu kila siku huku taa zikizimwa, gizaa. Na watu walitoka salama tu.
unavaa kaptula 3 kukwepa bakora zisikuingie mwilini tena za jeans au unaweka maboksi na makaratasi kwenye makalio duh!zamani bakola zilikuwa zinatembea sana!