Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
4,968
15,398
Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025

Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen

Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria

Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025

Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya ubakaji huko UK.

Itikadi kali kuendelea kuvamia, kuua na kubaka vijijini huko sudan.
 
Back
Top Bottom