Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

Wakuu wa wilaya waliotemwa....
1. Halima Kihemba (Kibaha)
2. Suleiman Kumchaya (Tabora)
3. Fatma Ally (Mtwara)
4. Ramadhani Maneno (Chemba)
5. Hafsa Mtasiwa (Korogwe)
6. Shabani Kissu (Kondoa)
7. Omar Kwaangw’ (Karatu)
8. Farida Mgomi (Chamwino)
9. Hawa Ng’humbi (Kishapu)
10. Zainab Mlesi (Rungwe)
11. Ahmed Namhone (Mbozi)
12. Khanifa Karamagi (Gairo)
13. Subira Mgalu (Kisarawe)
14. Nurdin Babu (Rufiji)
15. Abdallah Kihato (Mkuranga)
16. Ali Mohamed (Serengeti)
17. Saidi Amanzi (Singida)
18. Mahmood Kambona (Simanjiro)
19. Yahya Nawanda (Lindi)
20. Zuhura Mustapha Ally (Uyui)
21. Khanifa Sirengu (Sikonge)
22. Daudi Yassin (Makete)
23. Mariam Juma (Lushoto)
24. Husna Msangi (Handeni)
25. Amina Lugaila (Mbogwe)
26. Ibrahim Marwa (Nyang’wale)
27. Abdulla Lutavi (Tanga)
28. Mariam Mtima (Ruangwa)
29. Mariam Mohammed (Lushoto)
30. Selemani Liwowa (Kilindi)
31 Mboni Mgaza (Kilindi)
32.Betty Mkwassa(mvomero)
33.Darry Ibrahim Rwegasira (Biharamulo)
34.Jackline Liana(Nzega)
35.Novatus Makunga(Moshi)
36.Muhingo Rweyemamu (Morogoro)
37.Baraka Konisaga (Nyamagana)
38.Lucy Mayenga(Iramba)
wenye majina mengine walete niongezee
Orodha feki hii
 
Mfumo kristo ktk Ubora wake.
Endelezeni tu chuki zenu lkn msisahau kuwa Chuki humuathiri Mchukiaji.
What goes around Comes around.
Orodhesheni wote maana waliotemwa ni kama 100.Orodhesheni wote.By the way Nyie ndo mlimchagua Magufuli Leo mnalialia mlituita malofa
 
Ni matumaini yetu kuwa haki inatendeka kwa dini zote kama ahadi za uchaguzi.

Kofi la kwanza la ki kelb tulilozabwa ni pale Ndalichako aliporudishwa kwa cheo cha uwaziri katika wizara ambayo tuliwahi kuandamana kutotutendea haki mpaka akang'atuka.

Tunayatazama yote kwa macho mawili na moyo mkunjufu tukitegemea kuwa haki inatendeka.
Tuitokomeze ccm ndio dawa mujarab
 
Wakuu wa wilaya waliotemwa....
1. Halima Kihemba (Kibaha)
2. Suleiman Kumchaya (Tabora)
3. Fatma Ally (Mtwara)
4. Ramadhani Maneno (Chemba)
5. Hafsa Mtasiwa (Korogwe)
6. Shabani Kissu (Kondoa)
7. Omar Kwaangw’ (Karatu)
8. Farida Mgomi (Chamwino)
9. Hawa Ng’humbi (Kishapu)
10. Zainab Mlesi (Rungwe)
11. Ahmed Namhone (Mbozi)
12. Khanifa Karamagi (Gairo)
13. Subira Mgalu (Kisarawe)
14. Nurdin Babu (Rufiji)
15. Abdallah Kihato (Mkuranga)
16. Ali Mohamed (Serengeti)
17. Saidi Amanzi (Singida)
18. Mahmood Kambona (Simanjiro)
19. Yahya Nawanda (Lindi)
20. Zuhura Mustapha Ally (Uyui)
21. Khanifa Sirengu (Sikonge)
22. Daudi Yassin (Makete)
23. Mariam Juma (Lushoto)
24. Husna Msangi (Handeni)
25. Amina Lugaila (Mbogwe)
26. Ibrahim Marwa (Nyang’wale)
27. Abdulla Lutavi (Tanga)
28. Mariam Mtima (Ruangwa)
29. Mariam Mohammed (Lushoto)
30. Selemani Liwowa (Kilindi)
31 Mboni Mgaza (Kilindi)
32.Betty Mkwassa(mvomero)
33.Darry Ibrahim Rwegasira (Biharamulo)
34.Jackline Liana(Nzega)
35.Novatus Makunga(Moshi)
36.Muhingo Rweyemamu (Morogoro)
37.Baraka Konisaga (Nyamagana)
38.Lucy Mayenga(Iramba)
wenye majina mengine walete niongezee
Duh, akina halima, sulemain, fatma, Rama, said, ashura ndio wamejaaa. Kwa hili tigo wametumbua...

Ongeza mkuu wa wilaya ya Kilosa .

Somebody ..HENJEWELE
 
1abf9284aed62a2289142a337109fe0c.jpg
 
Mbona majina mengi ni ya waislam, au sijui kusoma vizuli? Hili likoje? Kuna sedoyeka wa sumbawanga na yule wa Kalambo pia wametemwa.
 
Tuanzie kujiuliza kwa yule aliyewateua ilikuaje awateue Waislamu tupu?
Wakuu wa wilaya by that time wakristo walikuwa weengi kiidadi...alichofanya jk ni kubalance namba atleast na waislam waonekane katika ushirikishwaji...anachokifanya huyo mparokia ni kuwafuta moja kwa moja waislam...wamemkosea nin waislam?huko kwingine tumepigia sana kelele ameeishia kusema kwamba tatizo shulee...ukuu wa mkoa na ukuu wa wilaya unahitaj shule ya namna gan?PHD?
 
Ni matumaini yetu kuwa haki inatendeka kwa dini zote kama ahadi za uchaguzi.

Kofi la kwanza la ki kelb tulilozabwa ni pale Ndalichako aliporudishwa kwa cheo cha uwaziri katika wizara ambayo tuliwahi kuandamana kutotutendea haki mpaka akang'atuka.

Tunayatazama yote kwa macho mawili na moyo mkunjufu tukitegemea kuwa haki inatendeka.
Pole sana, hapa kazi tu
 
Angalia uwezo wake wa kikazi na kielimu.
Au umelishwa, haujajuwa CV yake huyo mdada?
Nenda tafuta hiyooooo cv yake... Acha tumpime kwa utendaji wake na sio kukosoa kila kitu....
Anayo sifa ya kupata hiyo nafasi....
HIvi unafahamu nini kuhusu maana ya neneo ''MGONGANO WA KIMASLAHI''(CONFLICT OF INTEREST)?

The following are the most common forms of conflicts of interests:
  • Nepotism, in which a spouse, child, or other close relative is employed (or applies for employment) by an individual in political power.
Endelea kuchekelea vinavyokera, hope hutoshangaa iwapo Mugabe ataamua kuja Kupumzika Tanzania.
 
Magufuli asipate taabu na waislam...kama anaona waislam hawaendeni na slogan yake ya hapa kazi tuh ni vema tuh akaamua moja kwa moja...asiweke hata muislam mmoja katika serikali yake...ateue waporakia wenzake afanye nao kazi...hadi hapo tumeshamjua ni mtu wa aina gan...wala asijifiche kwenye kivuli chake cha hapa kazi tuh...na 2020 siyo mbali...tutaona na tunaomba uhai tuh
 
Kwa mwendo huu tutafika tuh...wala hakuna shida...na hakuna anaelalamika...tunachofanya ni kuweka wazi kwamba kinachofanyika kinaonekana...udini wa hali ya juu kbs
 
Mtoa mada una maana gani kuweka majina 29 tu tena ya upande mmoja wa dini wakati wakuu wa wilaya waliotemwa wapo 100..?? Kama kweli ulikuwa na nia njema kwann ucweke majina yote watu wakachangia hoja yako au una kitu umetumwa kukitafuta kutoka kwa watu wa imaani Fulani..??
 
Wengi wamama wametemwa je 50 kwa 50 itafika kwa hapa kazi?

Hata marekani hiyo 50 kwa 50 haipo wamarekani wengi walishaikataa wakasema wanachotaka mtu apewe nafasi kwa uwezo tu sio sura,jinsia au udogo au ukubwa wa makalio yake.
Baraza la mawaziri la marekani lina mawaziri 15.Kati ya hao mawaziri wanawake ni watatu tu.12 waliobaki wote wanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom