Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

Mlimlaumu kikwete na kumpakazia Udini sasa wacha Taifa lione kipi kinafanywa na Makatoliki.

Nchi za wenzetu zilizoingia mtafaruku wa kukosa amani zilianza hivi hivi.
Tunamuomba Mungu ainusuru nchi hii na Fitna za ubaguzi huu.
 
Mm ninachojua jamaa ni Mtanzania anachoangalia ni elimu na uwezo binafsi

Hayo mengine sidhani kama yana tija kwenye maendeleo ya Nchi.

Huwezi tu kuangalia majina ukahitimisha kwamba hili ni jina la kiislamu basi mhusika nae ni dini hiyo sio Kweli au jina la upande wa pili basi ndio hivyo sio hata kidogo.

Wengine majina tu ila wala tuwe waelewa imani ibaki kwenye imani kwingine kazi na uwezo.
 
Magufuli asipate taabu na waislam...kama anaona waislam hawaendeni na slogan yake ya hapa kazi tuh ni vema tuh akaamua moja kwa moja...asiweke hata muislam mmoja katika serikali yake...ateue waporakia wenzake afanye nao kazi...hadi hapo tumeshamjua ni mtu wa aina gan...wala asijifiche kwenye kivuli chake cha hapa kazi tuh...na 2020 siyo mbali...tutaona na tunaomba uhai tuh
Mkuu 2015 kumbe ulimpigia kura ya ndio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom