mkolosai
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,578
- 1,105
hakuna cha 50 kwa 50 hapa. wengi ilikuwa ni kujuana na nani kakupa nini. hasa kama una vigezo vya mwiliniWengi wamama wametemwa je 50 kwa 50 itafika kwa hapa kazi?
hakuna cha 50 kwa 50 hapa. wengi ilikuwa ni kujuana na nani kakupa nini. hasa kama una vigezo vya mwiliniWengi wamama wametemwa je 50 kwa 50 itafika kwa hapa kazi?
Nakubaliana na wewe 100%.
Hayo ya kupeana vyeo ki udini ndiyo maana nchi ilikuwa na shule ambazo hazitoshi mpaka alipokuja Kikwete. Hali kadhalika katika kila nyanja mpaka tulifikia kuwa masikini wa mwisho duniani.
Naona hali inarudi kwa kasi alipotutoa Kikwete, sasa tunarudi huko huko.
Kuna mtu alisema miaka mingapi vile nyuma?
Acha unafiki we mshinda njaa!! Wewe ulikua wakwanza kufurahia siku Magu alipomteua Majaliwa ukidhani ni mwislamu tena ukisema hukukosea kumpa kuraTuliposema kuwa jamaa ni mdini wengine hatukueleweka...mliokawa mnalia kuwa JK ni mdini nadhan uhalisia unaonekana hiv sasa
Acha unafiki we mshinda njaa!! Wewe ulikua wakwanza kufurahia siku Magu alipomteua Majaliwa ukidhani ni mwislamu tena ukisema hukukppTuliposema kuwa jamaa ni mdini wengine hatukueleweka...mliokawa mnalia kuwa JK ni mdini nadhan uhalisia unaonekana hiv sasa
Naona hali inarudi kwa kasi alipotutoa Kikwete, sasa tunarudi huko huko
Miaka kumi ya mkweree kweli aliongeza shule na watoto wengi kuorotheshwa mashuleni lakini ndio hizo shule za kayumba watoto wanasomea chini ya miti, hakuna mashimo ya vyoo na wengine kurundikana madarasani wakikalia matofali!! Kikwete was interested in numbers and not the quality of education!!! Ndio maana unakuta hao ****** wake wa UDOM wanafuzu lakini wanashindwa hata kuandika application letter!
Naam, kwanza uwe na shule halafu uwe na viti. Hivyo viti ungeviweka wapi?
Hakuna wa kabla yake anaeifikia record njema ya Kikwete katika kila nyanja.
Na mpaka leo hii, sijaona ubunifu wowote mpya ila naona initiatives za Kikwete zikiendelea kutamba.
Hakuna wa kabla yake anaeifikia record njema ya Kikwete katika kila nyanja
This is a sweeping statement!! Mambo karibuni yote unayomsifia mkweree kuwa aliyafanya enzi ya utawala wake yalikuwa ni muendelezo wa yale aliyoanzisha Mkapa , kutoka ujenzi wa barabara, chuo cha UDOM na kuboresha hosptali za rufaa haya yote yalianzishwa enzi ya Mkapa. Sifa kubwa aliyoiacha Kikwete ni kuwawezesha wafanyakazi wa serikali kusafiri sana nchi za nje na kununua suti na tai basi na ndio maana siku hizi kila mkuu serikalini ni suti tu!!
Mmmm ni kweli au story tu???Wakuu wa wilaya waliotemwa....
WALIOACHWA
Wakuu wa Wilaya walioachwa na vituo vyao kwenye mabano ni
1. Halima Kihemba (Kibaha)
2. Betty Mkwasa (Mvomero)
3. Muhingo Rweyemamu (Morogoro)
4. Matthew Sedoyeka (Sumbawanga)
5. Jacqueline Liana (Nzega)
6. Benson Mpesya (Songea)
7. Suleiman Kumchaya (Tabora)
8. Amani Mwenegoha (Bukombe).
9. Fatma Ally (Mtwara)
10. Jackson Msome (Bukoba)
11. Ramadhani Maneno (Chemba)
12. Hafsa Mtasiwa (Korogwe)
13. Pilly Moshi (Magu)
14. Paul Mzindakaya (Busega)
15. Shabani Kissu (Kondoa)
16. Baraka Konisaga (Nyamagana)
17. Francis Mwonga (Bahi)
18. Gerald Guninita (Kasulu)
19. Omar Kwaangw’ (Karatu)
20. Novatus Makunga (Moshi)
21. Farida Mgomi (Chamwino)
22 Ponsiano Nyami (Bariadi)
23. Lephy Gembe (Kilombero)
24. Dk. Jacqueline Tiisekwa (Dodoma)
25. Bituni Msangi (Kongwa)
26. Margaret Malenga (Nyasa)
27. Sheni Ngaga (Mbinga)
28. Chande Nalicho (Namtumbo)
29. Agnes Hokororo (Tunduru)
30. Hawa Ng’humbi (Kishapu)
31. Wilson Nkhambaku (Arumeru)
32. Ernest Kahindi (Longido)
33. Francis Mitti (Monduli)
34. Zainab Mlesi (Rungwe)
35. Nyirembe Munasa (Mbeya)
36. Ahmed Namhone (Mbozi)
37. Ziporah Pangani (Igunga)
38. Estherina Kilasi (Muheza)
39. Jowika Kasunga (Mufindi)
40. Khanifa Karamagi (Gairo)
41. Subira Mgalu (Kisarawe)
42. Nurdin Babu (Rufiji)
43. Crispin Meela (Babati)
44. Abdallah Kihato (Mkuranga)
45. Joshua Mirumbe (Bunda)
46. Ali Mohamed (Serengeti)
47. Lembris Kipuyo (Rombo)
48. Manju Msambya (Ilemela)
49. Saidi Amanzi (Singida)
50. Lucy Mayenga (Iramba)
51. Kanali Samuel Nzoka (Kiteto)
52. Mahmood Kambona (Simanjiro)
53. Dk. Michael Kadeghe (Mbulu)
54. Yahya Nawanda (Lindi)
55. Charles Gichuri (Ikungi)
56. Christopher Magela (Newala)
57. Bernard Ndutta (Masasi)
58. Zuhura Mustapha Ally (Uyui)
59. Khanifa Sirengu (Sikonge)
60. Daudi Yassin (Makete)
61. John Henjewele (Kilosa)
62. Mariam Juma (Lushoto)
63. Husna Msangi (Handeni)
64. Peter Toima (Kakonko)
65. Saveli Maketa (Kigoma)
66. Rosemary Kirigini (Maswa)
67. Georgina Bundala (Itilima)
68. Erasto Sima (Meatu)
69. Amina Lugaila (Mbogwe)
70. Ibrahim Marwa (Nyang’wale)
71. Abdulla Lutavi (Tanga)
72. Ephraim Mmbaga (Liwale)
73. Mariam Mtima (Ruangwa)
74. Mariam Mohammed (Lushoto)
75. Selemani Liwowa (Kilindi)
76 Mboni Mgaza (Kilindi)
wakuu samahani kwa list niliyoileta mwanzo, aliyenitumia alikosea
vikoje?hakuna cha 50 kwa 50 hapa. wengi ilikuwa ni kujuana na nani kakupa nini. hasa kama una vigezo vya mwilini
Na akaona haitoshi, unajuwa Mloganzila nini kinaendelea?
Kakuwachia cubic feet trillion 60 za Gas. Dogo hilo?
Na juzi BBC wametangaza helium kedekede, unajuwa zilianza kutafutwa lini
Vipi kuhusu hali ya siasa na utengemano sasa na wakati wa JK?
Unaongea nini?Vipi kuhusu hali ya siasa na utengemano sasa na wakati wa JK?
Unaongea nini?
Kwani hivi sasa Mwenyekiti wa CCM aka chama tawala ni nani?
Upo Coco Beach unauliza baharini wapi?
Unanshangaza.
Usihemuke uka-quote mara mbilimbili
Huko shule bado ulitoka na ujinga?
Tulia wewe...unataka kukwamisha #hapakazituNi matumaini yetu kuwa haki inatendeka kwa dini zote kama ahadi za uchaguzi.
Kofi la kwanza la ki kelb tulilozabwa ni pale Ndalichako aliporudishwa kwa cheo cha uwaziri katika wizara ambayo tuliwahi kuandamana kutotutendea haki mpaka akang'atuka.
Tunayatazama yote kwa macho mawili na moyo mkunjufu tukitegemea kuwa haki inatendeka.
Tulia wewe...unataka kukwamisha #hapakazitu
Hatunywi sumu hatujinyongi...mbele kwa mbele
Unaongea nini?
Kwani hivi sasa Mwenyekiti wa CCM aka chama tawala ni nani?
Upo Coco Beach unauliza baharini wapi?
Unanshangaza.