Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,930
- 14,158
Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa kupigania mabwana....Haya yote mnayoyaona ni matokeo ya G.P.A za chupi, mabinti wanategenea watoe rushwa ya ngono ndio wapate ufauru mzuri.