Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
5,928
14,158
Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa kupigania mabwana....Haya yote mnayoyaona ni matokeo ya G.P.A za chupi, mabinti wanategenea watoe rushwa ya ngono ndio wapate ufauru mzuri.
 
Kundi lingine la wanachuo wasiojitambua ni hili👇👇 kwa sasa wameamua kutumiwa vibaya na watawala kwa ahadi hewa za ajira na mengineyo..
IMG_20250420_103602.JPG
 
Good things ni kwamba wazazi nao wanachangia....Kuna dada mmoja anasoma MUCe Ile kapata tu admission mama na dada ake wakaanza kumuusia ajitahidi mpaka anamaliza chuo awe amepata mtu anaeeleweka (Financial Stable) ili akimaliza asirudi nyumbani.....imagine such mentality
 
Elimu nchi hii siyo tu degrii za chupi ila ukabila na udini unaathiri sana elimu.
Mchaga lazima ampendelee mchaga na mhaya anapendelea sana wahaya wenzie.Muislam anapendelea muislam mwenzie kwa sababu anaamini wao wanaonewa sana!

Tunahitaji neema ya Mungu kubadili mambo.Ndio maana degrii za watanzania ni kama tu ubingwa wa yanga.
 
Kama pale hospital ya kairuki wamejazana wahaya tupu, aisee...kumbe mwendazake kuwapendelea wasukuma wenzie kwenye kila sekta ilikuwa ni sawa tu
 
Kundi lingine la wanachuo wasiojitambua ni hili👇👇 kwa sasa wameamua kutumiwa vibaya na watawala kwa ahadi hewa za ajira na mengineyo..
View attachment 3310060
sasa hawa makosa yao ni nini? Chuo sio kusoma tu pia ni sehemu ya kukua, kujua vipaji vyako na kujifunza kuhusu maisha ndo maana kuna clubs mbalimbali kuna vikundi rtc etc sasa ni kazi ya kijana kujitambua ajieke namna gani
 
Back
Top Bottom