Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

kweli kabisa na wanatakiwa wajue kama huna haja ya kumla ndege uliyemwona kwenye mti, huna sababu ya kumrushia mawe na umwache aozee kwenye miba. Wamuache atatunguliwa na mwenye haja nae.

Na siku hizi wamekaa ku komplain each and everyday kwa kuwa hawataki kuchukua nafasi waliopewa na Mungu. If you find single mother is a disaster to you y taking your time to discuss them? you better mind your own bzness and their lives will go on no matter what. For those single mothers ambao hawajielew ndo shida but for those whom they know what they are doing, am happy for them and they are happy too.

kuna ka msemo kawasaidie kidogo,

"You can break down a woman temporarily but a Real Woman will always pick up the pieces, rebuild herself & come back stronger than ever"

Mko hapo????

Hiyo stronger than ever ndiyo inayowaletea matatizo na kuwafanya muendelee kuwa single mothers na kuendelea ku accumulate watoto kadiri mahusiano yenu yanavyozidi kuvunjika. Stonger than ever against what?? Enyi single mothers, please go back to the basics, kaa chini jiulize ulikosea wapi na ujirekebishe, kujitutumua na kujifanya stronger than ever mtaendelea kuwa michepuko and never have a man of your own kwakuwa vijana wataendelea kuwaogopa.
Halafu, mwanamke kukaa na kupambana na mwanaume ni sawa sawa na kusukuma mlima ukitarajia utasogea. Wise women accepts their position and they tend to be successful in relations.
 
You may be right. Lakini basi tutafute solution ya kuwasaidia maana inaonekana wameathirika kisaikolojia. Na pia ni nyie wanaume mmechangia wakawa hivyo. Si kweli kwamba wote waliachwa na wapenzi wao kwasababu ya tabia mbaya. Unafahamu kabisa huyu mwanamke anatabia mbaya na sitamuoa..unatembea nae pekupeku akishapata mimba unatimua. Ni nani source ya problem hapo kama si wewe mwanaume?
Kama huna plan ya kumuoa basi hakikisha humpi mimba.
Mwisho wa siku mwanao analelewa na huyo huyo mwanamke mwenye tabia mbaya na pia mwenye matatizo ya kisaikolojia.
Yeye anafahamu tabia yake mbaya na kwa vyovyote inajidhihirisha kwa kuwepo ugomvi au mahusiano yasiyo thabiti why nyie wanawake muwe so relaxed usijue hapa kuna kitu, unapenda vyote kuuza picha za uchi instagram afu unang'ang'ania ndoa kirahisu kisa umepata mimba, na mkumbuke mwenye uamuzi wa nizae au nisizae ni mwanamke, unajua dhahiri lini naweza pata mimba.

Binafsi nitasikitika kuona mwanamke anayetoa ushuhuda wa kuwa aliombwa wazae kwa maelewano ya kuishi wote afu ajageukwa. Kuzaa hakuwezi kuhalalisha married kwa mtu ambaye anaona hamuendani, na muache kudefine sex kama ishara ya mapenzi kati mdada na mkaka.

Ukifnya makosa tegemea kuwajibika kwa makosa uliyotenda.
 
Tusiwalaumu sana single mother..
Kimtazamo wangu sisi wanaume ndio tunasababisha yote hayo mpaka mwanamke anakosa mapenz ya kwel...unakuta men unamzalisha ke wa watu kwakuwa tu umemchoka Na uzur umepungua sio km zaman tena unakimbia
Wanaume weng tunaongoza kwa watoto weng mtaan yaan tusiwalaumu kabisa hawa watu maana tunauwezo wa kuwakontro
Unapiga mimba unasepa inategemea huyo ke atamwamin mwanaume? Tuache kuwazalilisha mama zetu bhana wanafanya tutafute pesa kwa nguvu zote
Jitafakari vizuri utagundua ni wanawake wenye matatizo..!
 
Hiyo stronger than ever ndiyo inayowaletea matatizo na kuwafanya muendelee kuwa single mothers na kuendelea ku accumulate watoto kadiri mahusiano yenu yanavyozidi kuvunjika. Stonger than ever against what?? Enyi single mothers, please go back to the basics, kaa chini jiulize ulikosea wapi na ujirekebishe, kujitutumua na kujifanya stronger than ever mtaendelea kuwa michepuko and never have a man of your own kwakuwa vijana wataendelea kuwaogopa.
Halafu, mwanamke kukaa na kupambana na mwanaume ni sawa sawa na kusukuma mlima ukitarajia utasogea. Wise women accepts their position and they tend to be successful in relations.
who told you single women do pambana na wanaume. Hizo fikira zenu tu potofu ndo zinawafanya muhangaike ovyo? wapi umeona single mama's wanalalamika? it is only men with no courage ndo wanalalamika otherwise men with courage will keep quite and move on with their life.

Take note of what is happening to your life and not to others. We live our life that is y we have no complaints with anyone.

upo ndugu?
 
Yeye anafahamu tabia yake mbaya na kwa vyovyote inajidhihirisha kwa kuwepo ugomvi au mahusiano yasiyo thabiti why nyie wanawake muwe so relaxed usijue hapa kuna kitu, unapenda vyote kuuza picha za uchi instagram afu unang'ang'ania ndoa kirahisu kisa umepata mimba, na mkumbuke mwenye uamuzi wa nizae au nisizae ni mwanamke, unajua dhahiri lini naweza pata mimba.

Binafsi nitasikitika kuona mwanamke anayetoa ushuhuda wa kuwa aliombwa wazae kwa maelewano ya kuishi wote afu ajageukwa. Kuzaa hakuwezi kuhalalisha married kwa mtu ambaye anaona hamuendani, na muache kudefine sex kama ishara ya mapenzi kati mdada na mkaka.

Ukifnya makosa tegemea kuwajibika kwa makosa uliyotenda.
Anayeuza picha zake za uchi instagram wewe unampa mimba ili iweje? Mwanamke wa hivyo yupo pale kibiashara zaidi. Wewe mwanaume unayejitambua kabisa unamtongoza na kusex nae kavu kavu kabisa mpka mimba inaingia ndio unashtuka kuwa ana tabia mbaya.
Kama ulimtamani kwa hizo picha zake za uchi basi ungemgonga kama changu tu na kusepa zako. Problem si huyo mwanamke anayejiuza live kabisa hivyo na unatambua. Problem ni yule aliyemuaproach akatembea nae peku peku akamjaza mimba na kusepa. Na akisepa atakuwa hajasolve problem moyoni mwake..ataishi akitambua kuwa nimezaa na kahaba...na mtoto wangu analelewa na kahaba. Itakuwa akilini mwake siku zote.
 
Vp kuhusu single father?
Single father is a prestige .mwanaune mwenye mtoto hata kama analea mwenyewe huwez fananisha na mwanaume asiye na mtoto.
Kwanza ni proof kwamba yy n kidume but for a single mother it is a vice versa.
Hakuna mtu atayeprefer a used car even if he has a used one kila mtu ana dream kuwa na mpya syo mtumbe.
Mwanaune na mwanamke huwez kuwa compare from a social point of view may b from a financial point of view.
 
Hiyo stronger than ever ndiyo inayowaletea matatizo na kuwafanya muendelee kuwa single mothers na kuendelea ku accumulate watoto kadiri mahusiano yenu yanavyozidi kuvunjika. Stonger than ever against what?? Enyi single mothers, please go back to the basics, kaa chini jiulize ulikosea wapi na ujirekebishe, kujitutumua na kujifanya stronger than ever mtaendelea kuwa michepuko and never have a man of your own kwakuwa vijana wataendelea kuwaogopa.
Halafu, mwanamke kukaa na kupambana na mwanaume ni sawa sawa na kusukuma mlima ukitarajia utasogea. Wise women accepts their position and they tend to be successful in relations.
Aliye na masiko na asikie..
 
who told you single women do pambana na wanaume. Hizo fikira zenu tu potofu ndo zinawafanya muhangaike ovyo? wapi umeona single mama's wanalalamika? it is only men with no courage ndo wanalalamika otherwise men with courage will keep quite and move on with their life.

Take note of what is happening to your life and not to others. We live our life that is y we have no complaints with anyone.

upo ndugu?
Unajifanya ujui sababu ya wanaume kulalamika, ukumbuke hawa wanao lalamika ni wanaume wapya wanao taka kubebeshwa burden ya makosa ya single mothers na michepuko yao..!

Ebu admit kubeba makosa yenu, ulizaa kwa uzembe walo iweje ulazimishe mwanaume uliyempata kusharea matatizo ulitafuta mwenyewe.
 
Yeye anafahamu tabia yake mbaya na kwa vyovyote inajidhihirisha kwa kuwepo ugomvi au mahusiano yasiyo thabiti why nyie wanawake muwe so relaxed usijue hapa kuna kitu, unapenda vyote kuuza picha za uchi instagram afu unang'ang'ania ndoa kirahisu kisa umepata mimba, na mkumbuke mwenye uamuzi wa nizae au nisizae ni mwanamke, unajua dhahiri lini naweza pata mimba.

Binafsi nitasikitika kuona mwanamke anayetoa ushuhuda wa kuwa aliombwa wazae kwa maelewano ya kuishi wote afu ajageukwa. Kuzaa hakuwezi kuhalalisha married kwa mtu ambaye anaona hamuendani, na muache kudefine sex kama ishara ya mapenzi kati mdada na mkaka.

Ukifnya makosa tegemea kuwajibika kwa makosa uliyotenda.

Mkuu umeongea vyema sana, na wanawake huwa wanajidanganya saaana kudhani kuwa kinachomuweka mwanaume kwake ni sex,," You are wrong ladies". Mwanaume anaweza kununua sex as many times as possible. Kuna kitu zaidi ya sex kinachomuweka mwanaume kwako, usipofungua akili yako na kujifanyie self evaluation, utatumia mgagani, sijui medura stick mpaka upate matatizo lakini utaendelea kuwa hivyo hivyo mapaka siku unaenda kaburini. Nawashauri, rudini kwenye misingi na mu assume your social role and position mtakula mema ya ndoa.
 
Unajifanya ujui sababu ya wanaume kulalamika, ukumbuke hawa wanao lalamika ni wanaume wapya wanao taka kubebeshwa burden ya makosa ya single mothers na michepuko yao..!

Ebu admit kubeba makosa yenu, ulizaa kwa uzembe walo iweje ulazimishe mwanaume uliyempata kusharea matatizo ulitafuta mwenyewe.
Hiviiii if I may ask just one question tu then I keep quite.

Huyo kijana ambaye anafata single mothers haoni? umario ndo unasumbua watu saa ingine.

If you decided to go for single mothers, take responsibilities and keep quite. a man should not complaint that much. labda tu wewe ni mvulana.
 
Anayeuza picha zake za uchi instagram wewe unampa mimba ili iweje? Mwanamke wa hivyo yupo pale kibiashara zaidi. Wewe mwanaume unayejitambua kabisa unamtongoza na kusex nae kavu kavu kabisa mpka mimba inaingia ndio unashtuka kuwa ana tabia mbaya.
Kama ulimtamani kwa hizo picha zake za uchi basi ungemgonga kama changu tu na kusepa zako. Problem si huyo mwanamke anayejiuza live kabisa hivyo na unatambua. Problem ni yule aliyemuaproach akatembea nae peku peku akamjaza mimba na kusepa. Na akisepa atakuwa hajasolve problem moyoni mwake..ataishi akitambua kuwa nimezaa na kahaba...na mtoto wangu analelewa na kahaba. Itakuwa akilini mwake siku zote.
Hivi hii lugha ya unampa mimba kama vile anatumia mimba kwenye bahasha au amechomwa mimba kama sindano hapa huwa siwaelewi wanawake kiukweli.

Wakati wa sex huwa mnatandaza miguu mpaka mwanaume unaona hii sasa too much. Ukikaribia kucome ndiyo unabana hutaki ata kitone kidodoke huku mkipiga kelele senkiyu bebi sasa mnvyodai tunawapa mimba huku watanua miguu nyie mkijua kuna mimba sitakuja kuwaelewa mimi.
 
Hiviiii if I may ask just one question tu then I keep quite.

Huyo kijana ambaye anafata single mothers haoni? umario ndo unasumbua watu saa ingine.

If you decided to go for single mothers, take responsibilities and keep quite. a man should not complaint that much. labda tu wewe ni mvulana.

Mara nyingi hawa single mothers ndio wanaokomalia vijana wawamege
 
Mbavu zangu...! Etii hao wadudu..
Wadudu.....! eti wanawake waliotumika.....!! Ninapowaita hivyo wanawake kisa wamezaa, na kuwafagilia wale waliotoa dazani ya mimba! wakati huo huo nasahau na mama yangu ni mwanamke aliyezaa, na sijui mambo aliyotendewa na kuumizwa nayo na still hakutupa wala kumdhuru mtoto wake! Ooooh! God have mercy on us!....Amen.
 
Acha tu wawaponde lakini wanakosea sana. Nimeona kila mtu anawalalamikia..ni kweli inawezekana wana problem, tena kubwa tu..PHSYCOLOGICALLY. Na cha kusikitisha ni kwamba wanaume ndio wamesababisha hii hali. Kuzalishwa na kutelekezwa si jambo rahisi hata kidogo, wengine walikuwa masomoni wameshindwa kuendelea wanaona kabisa dunia imewageuka, uwezo wa kumlea mtoto peke yake hawezi.
Mtasema kuwa kayataka mwenyewe angebana migui yake. Hilo ni suala la kipuuzi, kwanini wewe mwanaume usijitulize ukafunga zipu yako usimuingilie dada wa watu kama unajua majukumu huyawezi au huna mpango na binti wa watu.
wanaume mnatumia uanaume wenu vibaya kukandamiza mabinti ili mpate mtakacho hlf baadae unasepa. Wapo wanaume wachache wanaojitambua wanawajibika kutokana na makosa yao. Hata kama hatamuoa binti basi atahakikisha mtoto wake anapata matunzo ipasavyo.
Uzuri ni kwamba hawa single mothers baada ya kusononeka sana wananyanyuka na kupata nguvu ya kulea watoto wao wenyewe na kuendelea maisha. Big up to them na mungu anawasimamia!
Mwisho wa siku mwanaume akiona dada wa watu amemove on maisha yanasonga, katoto kazuri kana afya...eti ndio lijanaume linakuja. Hovyo kabisa!
Nyie wanaume mmepewa jukumu la kuwa kichwa cha familia lakini hamtumii vyema ukichwa mliopewa. Mwanaume yupo kwenye position sahihi ya kupunguza hawa single mothers waliojaa kila mahali, watoto wa mitaani, na hata hii biashara ya uchangudoa inashamiri kwaajili yenu.
NIMEKUBALI KUWA SINGLE MOTHERS NI SHIDA. WANAHITAJI MSAADA WA KISAIKOLOJIA ZAIDI. Kuwaponda haisaidii na badala yake mnaongeza tatizo liwe kubwa zaidi.
Kuna jambo mkuu ni wakorofi etii
 
Hivi hii lugha ya unampa mimba kama vile anatumia mimba kwenye bahasha au amechomwa mimba kama sindano hapa huwa siwaelewi wanawake kiukweli.

Wakati wa sex huwa mnatandaza miguu mpaka mwanaume unaona hii sasa too much. Ukikaribia kucome ndiyo unabana hutaki ata kitone kidodoke huku mkipiga kelele senkiyu bebi sasa mnvyodai tunawapa mimba huku watanua miguu nyie mkijua kuna mimba sitakuja kuwaelewa mimi.
Hiyo lugha inatumika kwasababu baada ya hapo unasepa..kwa hiyo ulivyoingia pekupeku ulitegemea nini kiote pale kama sio mimba? Mmeamua wenyewe kutengeneza mimba..yeye kapanua miguu na wewe umefurahia na kugugumia mpaka mate yamekutoka. Kwanini usingemwambia bana miguu sipendi unavyoitanua hivyo.
Haya..mimba imeingia unaondoka kimoja. Sio lazima umuoe lakini ile mimba na yule mtoto atakayezaliwa ni jukumu lako mpaka mwisho. Na kama hukutaka hayo majukumu wewe kama MWAUME MKAMILIFU uliyepewa cheo na jukumu la kuwa KICHWA CHA FAMILIA (familia si lazima uwe umeoa) kwenda pekupeku tu kwa mtu ambae huna future nae ni UZEMBE ULIOPITILIZA. Na mwanaume yoyote anayejitambua ikitokea hiyo mimba isiyotarajiwa (ingawa mlijua kabisa matokeo yake mnasema haikutarajiwa) atawajibika kutokana na matendo yake. Kukataa hiyo mimba au kutotaka kumlea huyo mtoto basi hata huo ukichwa wa familia uliopewa na Mungu haukufai. Bora tu uwe MKIA!
 
hebu wapumzisheni kwanza hawa single mother loh maana daily wanajadiliwa hao tu kwani mmelazimishwa kuwaoa haaaaa
 
Back
Top Bottom