Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Wanawake used ni shida. Jiulizeni kwanini waliachika wengi wao ni mama huruma..!
Tangu umeanza mahusiano unapata mabikira tu? Nyie ndio mnapata mke ambae enzi za ujana wake kachoropoa mimba 6 halafu unajipa moyo umepata kifaa. Bora hao wanaozaa watoto.
issue ni ndogo tu hapa..usichokipenda wewe mwenzako anakipenda sana. Ndio maana hao wanawake unaowaita used hawakosi wapenzi na hata ndoa.
 
Jipe moyo kama ulichezea ujana wako utapata wa kupita njia. Mpaka ukazalishwa jamaa akasepa si bure utakuwa na kasoro.
 
Sina haja ya kujipa moyo mkuu. Nipo mbali kinoma...nashangaa tu vijana walivyo na mawazo finyu.
Siyo mawazo finyuu single mother wanashida kiukweli ukimsikiliza utajua alipokosea na anajifanya kutafuta sympathy ya jamii kwa kuwalaum wazazi wenzao.
 
Inawezekana ni huyo mmoja au wawili uliowahi kukutana nao ndio wapo hivyo. Na pia huwezi kugeneralize kuwa single mothers wote ndio wapo hivyo.
pia kuwaita wanawake used unakosea sana bro. Ni mwanaume kama wewe aliyesababisha yeye akawa single mother na hujui ni nini kilisababisha.
Endelea kutowapenda coz thats your choice lakini haimaanishi hakuna anayewapenda, wanapendwa na wanaolewa. Pia ukumbuke yeye kuwa hivyo haeleweki imetokana na situation aliyopitia mpk yeye kuwa single mother.
 
Kwa kiasi kikubwa hawa wanawake ni kweli wapo hivyo. They are very difficult to live with, wengi wamejawa na hasira za kuvunjika kwa mahusiano yaliyopelekea kuwaacha na watoto as single mothers. Hali hii huwafanya wasithamini mapenzi, na kuishi na mwanaume wakiwa soo defensive. Advice kwa vijana, stay away from single mothers, you will pay the price ya mahusiano yaliyovunjika na kuwaacha wakiwa na hiyo status yao. Hali hii ni mbaya sana kwani, kimsingi mahusiano yao yalivunjika kutokana na tabia zao zisizokuwa nzuri, ukijumlisha na hiyo reaction, inakuwa tabia mbaya square.
 
You may be right. Lakini basi tutafute solution ya kuwasaidia maana inaonekana wameathirika kisaikolojia. Na pia ni nyie wanaume mmechangia wakawa hivyo. Si kweli kwamba wote waliachwa na wapenzi wao kwasababu ya tabia mbaya. Unafahamu kabisa huyu mwanamke anatabia mbaya na sitamuoa..unatembea nae pekupeku akishapata mimba unatimua. Ni nani source ya problem hapo kama si wewe mwanaume?
Kama huna plan ya kumuoa basi hakikisha humpi mimba.
Mwisho wa siku mwanao analelewa na huyo huyo mwanamke mwenye tabia mbaya na pia mwenye matatizo ya kisaikolojia.
 
Inawezekana ni huyo mmoja au wawili uliowahi kukutana nao ndio wapo hivyo. Na pia huwezi kugeneralize kuwa single mothers wote ndio wapo hivyo.
pia kuwaita wanawake used unakosea sana bro. Ni mwanaume kama wewe aliyesababisha yeye akawa single mother na hujui ni nini kilisababisha.
Endelea kutowapenda coz thats your choice lakini haimaanishi hakuna anayewapenda, wanapendwa na wanaolewa. Pia ukumbuke yeye kuwa hivyo haeleweki imetokana na situation aliyopitia mpk yeye kuwa single mother.
Nasema haya kwa tafiti ingawa siyo rasmi ila kwa kiasi kikubwa ni problematic mkuu.

Siwezi grantee kwanza kuzaa ovyoo na mtu ambaye kashindwa kumasses kwangu ni kigezo hafifu cha kutomgrantee married kwangu.
 
You may be right. Lakini basi tutafute solution ya kuwasaidia maana inaonekana wameathirika kisaikolojia. Na pia ni nyie wanaume mmechangia wakawa hivyo. Si kweli kwamba wote waliachwa na wapenzi wao kwasababu ya tabia mbaya. Unafahamu kabisa huyu mwanamke anatabia mbaya na sitamuoa..unatembea nae pekupeku akishapata mimba unatimua. Ni nani source ya problem hapo kama si wewe mwanaume?
Kama huna plan ya kumuoa basi hakikisha humpi mimba.
Mwisho wa siku mwanao analelewa na huyo huyo mwanamke mwenye tabia mbaya na pia mwenye matatizo ya kisaikolojia.

Kwa kiasi kikubwa mwenye nafasi ya kuepusha mimba ni mwanamke kutokana na ukweli kwamba yeye ndie anaefahamu mzunguko wake kwa hakika, na pia wanawake ndio wanaongoza ktk kupinga matumizi ya condom,,, wanaume waliowengi watakuwa ni mashahidi hapa. Ukiangalia ukweli huo, mahusiano mengi yanayozaa mimba nje ya ndoa, tuna uhakika asilimia 100% kuwa ni bahati mbaya kwa mwanaume, lakini kwa mwanamke kunakuwa na nafasi kubwa kuwa ametegesha makusudi. Nia ya mwanamke kutegesha makusudi ni baada ya kuona umri unasonga au umekuwa muafaka wa yeye kuolewa hivyo anategesha ili kuforce ndoa. Lakini kumbe wanaume wengi wameshtuka, enzi za kuoa mimba zilishapita, hivi sasa watu wanaoa mke. Ikumbukwe si kila mwanamke ni mke, lakini asilimia kubwa ya wanawake wanaweza kushika mimba, hivyo kushika mimba hakumfanyi mwanamke a qualify kuwa mke.
 
Kweli kabisa unashawishiwa usitumie condom na wewe unakubali kabisa kirahisi..na matokeo yake unayajua kabisa kuwa ni either ukimwi au mimba. Haya..basi sawa. Mimi nimemaliza.
 
Ila ma single mother yakipata mwanaume alietulia na kujali familia yanabehave vzr acha kabsa[/QUOTE
KAMA WADUDU!!!! yaaan wanaume vichekesho mnooo mngekuwa responsible hata hyo idadi ya single mothers nahisi ingepungua wengi wenu ni wavivu msotaka majukumu, katika situation kama hiyo mwanamke akae tu kwa hofu ya kuogopwa na wachache wasokuwa na akili?
 
Tusiwalaumu sana single mother..
Kimtazamo wangu sisi wanaume ndio tunasababisha yote hayo mpaka mwanamke anakosa mapenz ya kwel...unakuta men unamzalisha ke wa watu kwakuwa tu umemchoka Na uzur umepungua sio km zaman tena unakimbia
Wanaume weng tunaongoza kwa watoto weng mtaan yaan tusiwalaumu kabisa hawa watu maana tunauwezo wa kuwakontro
Unapiga mimba unasepa inategemea huyo ke atamwamin mwanaume? Tuache kuwazalilisha mama zetu bhana wanafanya tutafute pesa kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom