Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,652
Asante kwa kuchangiaMatatizo kwan huna wazaz ww mpaka wanaume tu ndo wayatatue? $#$$/^^$$// zako naww acha kujiuza
Asante kwa kuchangiaMatatizo kwan huna wazaz ww mpaka wanaume tu ndo wayatatue? $#$$/^^$$// zako naww acha kujiuza
Nothing sweet comes easily
Bob at tyms its either u learn the hard way or never learn at all........daamn......
kaka, asante kwa meneno ambayo yamenipa nguvu kwa namna yakipekee sana......hasa hapa "now it's better to remain silent"Hii situation ipo kwa wengi point ya msingi move on, muombe sana Mungu kama ipo ipo tu, maana Mungu wetu ni mwaminifu na anatuwazia mema, but walk in faith, uwezi jua unae mkomalia, lazima uikane nafsi kwa ulio yafanya kwa uyo dada it's enough to understand (1 year) now it's better to remain silent, kama ni wako atakuja trust me.
Dada huwezi ona gap, kama gap halijajitokeza...umeona gap kwakuwa limejitokeza, likitokea naye ataliona ndipo atanikumbuka....teh, nyie mnaogopwa sana.
Nothing sweet comes easily
kaka, asante kwa meneno ambayo yamenipa nguvu kwa namna yakipekee sana......hasa hapa "now it's better to remain silent"...maana ukiongea naye sana bint na akawa akawa kimya, unaanza kulalamika.
kweli, wanaochezea wanawake wanaziba riziki hilo lipo wazi. Nishawahi kumwambia bint mmoja kuwa mtu ulonaye anakunyanyasa na anakupotezea muda, alifanya maamuzi yakuacha na mshikaji wangu ila mpaka leo ananishukuru sana. kapotezewa miaka minne ila hajajali hilo. Sijajua nikwakiwango gani ni mme mwema ila naamini na tips zakuwa mwanaume mwema, na hata ninayemwitaji analijua hilo....ila huwa na mwambia nimuda tu bado wakurecognise my position on her.Mi ni ke...Sina *****! zinirudieje??
Nlishasamehe na kusahau but nataka niwajulishe kitu,wale wanaowachezea mabinti ndo wanaowazibia riziki zenu za kupata mke..Kemeeni! na pia kama unahitaji mke mwema jiulize we ni mume mwema???
Kwenye haya maisha ukibahatika kupata mwanamke na akakupenda haswa haswa ni wakumkumbatia sana
Usiforce akupende madhara ya kusema IPO siku atageuka ili umuoe halafu sijue akupendee utaumia sana![]()
Nimechukua hoja hizi mkuu, zimekaa vizuri sanaanakumbuka sana maneno ya babu yangu; alinipa hints 5 muhimu za kuchagua mwanamke wa kuoa...lemme share with you guys huenda mkasaidika
no. 1: Mjukuu wangu usitafute mwanamke wa kuoa baada ya kupata msukumo wa mafanikio fulani katika maisha (elimu, pesa, kazi nk.) mwanamke unaetakiwa kumwoa ni yule atakaepita hatua kwa hatua na wewe hadi kufikia mafanikio yako.
no 2: Mjukuu wangu hakikisha unaoa mwanamke unayeweza kummudu kwenye kila aspect: mapenzi, maamuzi nk kwa sababu unaenda kuwa kiongozi wa familia yako na mkeo ni msaidizi wako (japo mke wako anatakiwa awe pia mshauri mzuri kwako sio kila kitu anakukubalia tu)
no 3: Mjukuu wangu hakikisha unaoa mwanamke ambaye malezi katika familia yao yanaendana na yako ili kusiwe na mgongano wa kimalezi kwa watoto wako (mfano ukitoka familia ya kidini basi hakikisha na mkeo anatoka kwenye familia ya namna hiyo)
no. 4: Mjukuu wangu ukioa oa mwanamke ambaye ni rafiki wa ndugu zako pia
no. 5: Mjukuu wangu ukioa basi oa mwanamke asiyependa kujionyesha (showoff) na kujivuna
Akamalizia kwa kusema kuwa, ukizingatia hayo mjukuu wangu basi ndoa yako itakuwa kama yangu ambayo mpaka leo najivunia kuwa na bibi yako na sijawahi hata siku moja kujuta kuwa nae.....Haya maneno aliambiwa baba yako na baba yangu na mimi leo nimetimiza wajibu wangu kukwambia wewe; na wewe utawaambia wajukuu zako pia maana hii ndo desturi ya ukoo wetu.
Zingine zinaishia kuoza.Mvumilivu hula mbivu
No 1 sijaelewa vizuri. Kama nikikukuta tayari una mafanikio yako inakuaje hapo?nakumbuka sana maneno ya babu yangu; alinipa hints 5 muhimu za kuchagua mwanamke wa kuoa...lemme share with you guys huenda mkasaidika