Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,354
Kinyaa cha nn mkuuHuyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Kinyaa cha nn mkuuHuyu mtot wa kiume hana kinyaa!
ndio washakuwa mr and mrs hakuna cha single mother wala single father tenaDah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Itabidi nitete nawe, kuna ka mtiririko flan cha posts nime note kwakoKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Unamaanisha!?Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Una busara sana japo sikufahamuKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Padri ndio kasema..?Padri
Karibu mkuu, mimi na wewe tumetoka mbali.Itabidi nitete nawe, kuna ka mtiririko flan cha posts nime note kwako
Daudi Kusekwa (haya majina yanawenyewe)Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172
Mbona Flora amekuwa mbaya hivyo?Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172
kweli mwenzangu sijui kama nitavaa tenaKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.