Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Sherehe ni kama imechacha maana alitegemea watu waingie kwa kulipia...nani mwenye akili timamu anaweza kwenda kuangalia upuuzi kama huo alafu aishie kumywa soda..
Kumbe ilikuwa na kiingilio jaman
 
wakuu aomba kujua ndoa imefungwa kwa aina gani maana christian hawana ndoa mbili au nafikiaria kizamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom