fatma kimambo
Member
- Sep 2, 2016
- 42
- 15
Nani kasema mereran hakuna madrasa?Unamfahamu vizuri huyo Hassan?
Hakuna cha madrassa Mererani
Nani kasema mereran hakuna madrasa?Unamfahamu vizuri huyo Hassan?
Hakuna cha madrassa Mererani
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Oh yes, pia product ya madrassa
Cc Ritz
Waliofeli hawakupitia madrasa vizuri siyo!?
lingekuwa jambo baya may be terrorism then mtu akasema ni aliefanya tukio ni madrasa product mngeanza oooh ndo zao hao au ingekuwa shoga kajinadi like kaoge wa clouds FM then mtu akaandika kuwa ni madrasa product pia mngesema waislamu siku hizi mashoga lkn ktk hili mtu kasema tu T.O ni madrasa product Leo hamsemi waislamu hao!! mmekaa kumsema mleta mada kuwa mdini kumbe nyie ndo wadini na huo ujinga na udini usiokuwa na maana hautawafikisha popote
Ndo hivyo sasa kama T.O kashakuwa msiotaka hamieni burundi
Ndugu hivi hii lugha gani umetumia. Inafanana kama na kiswahili vileAliyeandka hii thread katoloka milembe nn sasa ufahuru wa mtu na madrasa wap na wap eti product ya madrasa we una akili kweli? badala wasifiwe walimu wake we una..... chiz ww eeh?
Pole kwa machungu.dini ya magaidi
magaidi wakubwa
Miaka ya 95 kurudi nyuma Azania boys kulikua na wanafunzi waislam waliokua wakiongoza shule na mkoa mpaka kitaifa. Sijui baada ya hapo kwa kua nilishaondoka.Asante. Umewaweza.
Wengine walioongozaga wako wapi??
Nakushauri uisome Qur'an utaelewa masomo ya madrassa. Mbona yapo mengi sana kuliko unavyofikiria.Kafaulu kwa kipaji na juhudi zake acha ufinyu wa fikra wewe, madrassa zinafundisha masomo gani kwani hadi useme ni 'product' ya madrassa?
Nakushangaa sana je wakatoliki wanaokalili katekisimu yote ya kanisa wakiwa wadogo wakija kupata ekaristi je hawaandaliwi au hapa kuna ch madrasa wala nin ni akili zake na juhudi zake hongera hassan
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Oh yes, pia product ya madrassa
Cc Ritz
Kwa nyongeza:
Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
Kama amefaulu kutokana na kufundishwa vizuri madrasa, basi madrasa za kilimanjaro zinafundisha vizuri kuliko zile za Unguja.
Huyu jamaa kweli nilimsikia, alipta 1ya 10 afu shule ya kata , tukasema akienda shule nzuri lazima atoke na point 3 tu A level, manake hiki kichwa so mchezo, kweli mungu kamuona, god bless him.
Kwa nyongeza:
Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
i like you bibie if you like me tell me plsNakushauri uisome Qur'an utaelewa masomo ya madrassa. Mbona yapo mengi sana kuliko unavyofikiria.