Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Mkuu Mohamed Said tafadhali naomba uthibitishe hilo kwa kutuwekea hapa hayo makubaliano kupitia MoU kama alivyoomba mdau hapo juu.Mnyamakazi,
Usighadhibike ikiwa hizo fedha za MoU hazinufaishi shule za seminari
nifahamishe tu kwa utaratibu kwani huenda taarifa zangu si sahihi.
MoU ninayozungumza mimi ni hii ya makanisa na serikali iliyotayarishwa
na Prof. Mahalu.
Hatufundishani uongo wala hatuoti wala hatusiemi haya kwa kutaka kujenga
farka katika jamii.
Tunayaema haya ili ukweli uwe wazi.
Ingekuwaje kama Waislam wangekuwa wanapewa hizo 90+ bilioni kila mwaka
na Wakristo wakanyimwa?
Chukua dakika moja tu utafakari.
Fanya hivyo tafadhali ili tuwe na Facts.
SHUKRAN,