Happy birthday Mange Kimambi

Nyinyi ni mifano ya watu waliopotea Kwa kukosa maarifa.. Hahaha mnamwamini Mange halafu mna jinsia ya kiume.. Acheni uzembe.. Amkeni.fikirieni hata kidogoo tu
Kaka sidhani ka ntakuwa nimekutukana nikisema wewe ni Taahira.....kumuamini mtu kuna uhusiano gani na jinsia? Halafu huwa mtu haaminiwi moja kwa moja wala kupingwa moja kwa moja....Ataaminiwa kwenye certain issues na kupingwa kwenye certain issues .....Just like everyone else
 
wakati wa uchaguzi mange alikuwa ccm,wakati wa sakata la madawa ya kulevya ambalo limeanzishwa na makonda ameanza kutapatapa,mara achome kadi ya ccm mara amehania chama anachojua.je huyu ni popo?mpaka sasa mm amenichanganya ana masirahi gani wapi?[/QUJarib kuwa

Jaribu kuwa mkweli kidogo ndugu unajiaibisha. Mange hakuchoma kadi ya chama kwa sababu ya madawa ya kulevya.
 
Hivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Nenda Instagram halafu angalia akaunti yake ndo utamjua ni nani? Na kwanini bashite anataka anyongwe
 
kaka Wa daresalamu alimwagiwa maji na watangazaji wa clous huyu nahisi TBC watasherekea nae hip BD yake
 
Happy birthday day ila watakuwa wanakutafuta balaaa sio kwakuwasema vle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom