Hali ishakuwa mbaya, msaada wenu ndugu zangu

kuwa na amani ndugua yangu maisha yanakupanda na kushuka naamini hayo ni kama mapito katika maisha yako..na ninaamini kuwa muda si mrefu mapito hayo yataisha ila kikubwa zidi sana kumuomba Mungu...nakuombea mafanikio na maisha yenye furaha
 
Dah nimesoma uzi mzima hakuna hata aliyetoa utatuzi. Hayo maneno tu hayawezi kuvunja chawa. JF kuna ma-boss (mara nyingi mnajitapa pale mnapokwazika kwa namna moja au nyingine) , JF kuna wenye miradi wanaohitaji usimamizi, JF kuna wenye kampuni zao, JF kuna mission town, JF kuna wazazi ambao watoto wao wanahitaji japo tuition ya primary ambayo mtoa uzi hashindwi kutoa akapata hela ya kula huku akitafakari..... ina maana woote hawa mmeshindwa kuja na tangible solution kwa jamaa? Mungu anawaona au ni yale yale mkiwa nyuma ya keyboard kila mtu ni somebody ila uhalisia hakuna kitu?
Kaka endelea kuomba msaada ukiona hawasaidii anzisha uzi mwingine. Kuna jamaa ilikuwa hivi hivi nikampa ushauri huu ukafanikisha.
 
Pole sana ndugu yangu. Mungu ni mwaminifu kila alikuja duniani ni kwa kusudi maalumu hivyo usihofu Mungu atakufanyia njia tu. Ngoja wengine waje yamkini Mungu akukuletea malaika kupitia jf akakusaidia. Usiuzunike wala kukata tamaa mtukuze Mungu sikuzote. Amina.
Amen
 
Back
Top Bottom