Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 16,590
- 36,725
Kuna uwezekano viongozi wa juu hawajui juu ya hiyo kadhia ama lah wanajua ila wanafanya kusudi kukaa kimya kwa madhumuni fulani fulani ya kisiasa.
Maana wao wanapita mwendo wa ngiri mkia juu, barabara nyeupee hamna foleni, hamna kelele, vioo viko juu ni kiyoyozi tu, si ajabu mitandaoni nako anapitishwa accounts za chawa wake tu, wale wanaosifia.
Akisema asikilize redio ni chawa, tv ndo chawa pro max, tarifa za habari nyingi ni za kuwasifia na nyingine viongozi waliochaguliwa wakimulikwa na camera huku wakitatatu changamoto hewa.