Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Kuna uwezekano viongozi wa juu hawajui juu ya hiyo kadhia ama lah wanajua ila wanafanya kusudi kukaa kimya kwa madhumuni fulani fulani ya kisiasa.

Maana wao wanapita mwendo wa ngiri mkia juu, barabara nyeupee hamna foleni, hamna kelele, vioo viko juu ni kiyoyozi tu, si ajabu mitandaoni nako anapitishwa accounts za chawa wake tu, wale wanaosifia.
Akisema asikilize redio ni chawa, tv ndo chawa pro max, tarifa za habari nyingi ni za kuwasifia na nyingine viongozi waliochaguliwa wakimulikwa na camera huku wakitatatu changamoto hewa.
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Umezunguka dunia nzima?
 
Sitaki kuharibu mada yako mkuu, ila sisi tunaishi peponi compare na usafiri wa umma wa South Asia,

images (43).jpeg

images (42).jpeg
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Umewahi kufika India? Ht youtube huoni watu walivyojazana mpk kwenye keria ya treni? Tembea uone hapo ndio umetoka kwenu Mahenge safari bado
 
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

View attachment 3312055
Ni utetezi wa Kijinga na kutafuta justification ya uzembe wa serikali ya Tanzania.
 
Sikiliza wewe kunguni.

Mtoa mada amedai kuwa mwendokasi ni usafiri wa hovyo na hatari kuliko yote duniani.

Amefanya comparison wapi na wapi?
Kama hoja zako zingeweza kujieleza zenyewe, usingehitaji matusi wala dharau. Bahati mbaya ni kwamba unajaribu kufunika udhaifu wa point zako kwa makelele , lakini hata ukipiga kelele, hoja dhaifu zitabaki kuwa dhaifu. Si ajabu, jina lako lenyewe linatuonya mapema: Mlolongo , huenda hata fikra zako zimepotea njiani kwenye huo mfululizo.
 
Back
Top Bottom