Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

6WaS9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
2,575
3,057
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

IMG_4059.jpeg
 
Attachments

  • v09044g40000cti5au7og65gro54anqg.mp4
    1 MB

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Aliyepewa nafasi kwenye hiyo wizara hatoshi anafaa kujiondoa, ingekuwa enzi za Mwendazake leo tungesikia reshuffle
 
Ni kher waruhusu magari binafsi yatoe huduma kama zamani kwenye njia ambazo ziliondolewa na kubakisha mwendo kasi tu.
Dart wameshindwa kutoa huduma kabisa kwenye njii hususani kimara gerezani ,kimara kivukoni.
Kwenye hizo root naona kinachofanywa ni kutesa tu hao wananchi wanaotumia usafiri huo hususani mida ya asubuhi na jioni
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

1745318794832.png
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Kuna siku pale Mbezi kutokana na nyomi iliokuwepo basi lilipofika katika kugombania sikukanyaga ngazi nikastukia niko ndani...
 
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

View attachment 3312055
Sijaelewa kwanini umetoa huu mfano.

Kwamba kwasababu Mumbai hali iko hivyo kwahiyo watu wa Dar hawatakiwi kulalamika au?
 
Umesoma title yake lakini? Au umeenda moja kwa moja kwenye picha na video yake? Ngoja nikukumbushe alichosema:

"Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania"

Sasa nirudi kwako kukuuliza. Je, Mumbai haipo duniani?
 
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

View attachment 3312055
Usifanye jambo bovu halafu ufurahi eti kisa mwenzako anafanya vibaya zaudi yako. Mwendokasi zinavuja! Maboresho ni ya lazima hata kama mumbai kukoje sijui
 
Hivi huwa mnasoma heading au mnakimbilia moja kwa moja kwenye contents tu? Hebu nikuonyeshe kilichoandikwa:

"Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania"
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Sasa na hao walio nyoosha mikono juu ni mateka wa ukanda wa Gaza?
 
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

View attachment 3312055
Ni kweli, lakini kwanini tuchukue mfano huo, kwanini tusiangalie walioweza walifanyaje kupata mafanikio
 
Back
Top Bottom