Hakuna na hakutatokea ngoma Kali ya Hip Hop ya kushirikiana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kuizidi MTAZAMO

// Ad Code here
MTAZAMO Mpaka Nimebubujikwa Machozi Ya Furaha Yaani Afande Mfalme Wa Rhymes
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwa hizi nyimbo sijui tema mate iteleze mara chapatichapati kufikia ukali wa hio collabo bado na kama mambo yakiendelea hivi kile kizazi kitabaki kua golden generation ya mziki wa kizazi kipya bongo
Kizazi gani cha kuku kapanda baskeri au nin mademu 30 mmoja anajikojolea 🚮🚮
 
Kikuku cha mama roda kimekula mama wangu, Nikitaka kukifukuza Mama roda kanitukana.

Hapo umepata ujumbe gani??
huyo alikuwa anambelea upepo, lakini asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanaumiza kichwa kuimba nyimbo zenye maana, sasa hivi tuongee ukweli nyimbo nyingi za bongofleva zimejaa maneno ya ngono tu,
 
Again, kupiga keyboard sio ku-produce. Labda kama hujui maana ya producing.
Bizzman alikuwa assistant procuder kama ilivyo Soggy, Allan na Ludigo hapo kwa Majani
baadhi ya ngoma Majani alikuwa hagusi hata kidogo, hao assistants walikuwa wanaingiza instrumentals, ku mix na kumaster wenyewe na ngoma inatoka
 
Back
Top Bottom