Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 281,222
- 731,478
- Thread starter
- #81
Yeah wapiga mbizi kama yeye wana pumzi sanaNimeiona video yake akiogelea baharini mwamba yuko vizuri sana. Naamini aliwatandazia dozi za maana hawa maqumer
Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.😁Kwenye kesi ya Mbowe na wale Commandos kuna mmoja anaitwa Mhina akiwa mahakamani anasimulia polisi walivyokuwa wanamfuatilia akiwa Tabora. Yaani mtu mmoja tu anafuatwa na gari mbili land cruiser hard top zilizojaa polisi wenye bunduki.
Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.
Kweli zama hizi ufukue maiti zaidi ya 13 halafu hilo eneo lisiwe story? Watu wa eneo hilo wawe kimyaaa.📌🔨Nje ya Mada. Mkuu Mshana Jr Najiuliza katikati ya matukio kibao ya watu kupotea, PT walijitokeza na story ya mganga wa kienyeji kuwa ndie anapoteza watu, kwamba kapoteza watu zaidi ya 13.
Cha ajabu hadi leo hakuna picha ya mganga, picha ya makaburi waliyofukua, kesi mahakamani, ndugu waliojitokeza kuhusishwa na maiti zilizofukuliwa/zilizookotwa (coz marehemu wote PT walitawataja majina, wala hakuna hata kijiji, wilaya au eneo lolote kuna story hiyo inazungumzwa.
Kweli zama hizi ufukue maiti zaidi ya 13 halafu hilo eneo lisiwe story? Watu wa eneo hilo wawe kimyaaa.
Nahisi walikuwa wanatupanga kwa story ya kutunga kutuaminisha watu wanapotezwa na mengi, wao hawahusiki. Hili la huyu mzee limewaumbua zaidi. Nawaza tu.
Mbinu ziko nyingi sana ukishahisi usalama wako ni mdogo.. Unatulia kabisa na kujifanya zoba.. Kisha kiustaarabu kabisa unaomba kwenda msalani, kwakuwa ulikuwa mpole wanadanganyika na kukufungua walau mkono mmoja.. Ukitambua wazi kabisa nafasi ya kutoka salama ni finyu unaamua kufa kishujaa.. Unampelekea moto aliye karibu yakondugu yangu, kwa tuliopitia sanaa za mapigano, ukishaona wamekufunga pingu tu, jua wamekupunguzia asilimia kubwa sana ya upinzani. na kama wanakujua wewe ni mjeda, jua hawatakufungua pingu ng'ooo usijewapora bunduki kwa utaalamu wako. hivyo tuomboleze tu ila sidhani kama kulikuwa na upinzani wowote.
Unaweza kukuta haipo tena🥺😭Kule Mwananyamala ile miili mingine 3 imeshaondolewa kufuta evidence
Gari linalotoka Tanga linaanza kufika Mbezi au Tegeta?Afu lela ulela. Kwa mujibu wa taarifa za mwanzo ni kuwa gari ilikuwa ikitokea Tanga kuja Dsm, ila maelezo yako ni kama vile gari ilikuwa ikitoka Dar kwenda Tanga.
Inatupa picha hii simulizi yako ni ya kijiweni kabisa wala haina uhusiano na taarifa halisi
Gari linalotoka Tanga likifika Tegeta litashusha abiria ama litapakia?
😂😂😂😂😂Jamani kama kuna dokta yeyote aliyemtibu mgonjwa mwenye MANUNDU au mapengo mapya atoe taarifa usikute alikula ndoo ya maana kutoka kwa muhanga