Hakufa kizembe: Nina hakika kuna watu walichezea vitasa. Tena vya maana

Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo

Imformer
Gari mbili za kazi
'Watu' wenye silaha za moto
Pingu

Haukuwa utekwaji wa kawaida. Watekaji walikuwa wamejiandaa vilivyo kwa lolote.

Walikuwa wanajua kwa hakika aina ya mtu wanayemteka na ndio maana baada tu ya kumvamia walumvalisha pingu almaarufu kama bangili na kuondoka naye kwa haraka sana.

Kuna swali moja muhimu sana hapa kwanini waliamua kutekeleza tukio lao pale kituo cha Kibo?

Katika Mojawapo ya simulizi za dereva anasema aliiona gari ikimfukuzia kwa nyuma tangu baada ya kutoka Kituo cha mabasi Mbezi.

Madereva wazoefu huwa wanajua anayewafukuzia ama anayewafuata ama kuwafuatilia.

Rejea simulizi ya dereva wa Tundu Lissu
Dereva wa bus la Tashrif hakutoa mwanya kwa gari husika limpite.

Yaani alilibania mpaka walipofika Kituo cha Kibo na kulazimika kusimama kupakia abiria.

Hapo hapo watekaji wakaona wasifanye kisa bali wapige ambush palepale na ndio maana gari moja likapiga block nyuma na kingine mbele

Kwa hesabu za haraka walijua fika Tashrif haiokotezi abiria njiani hivyo kusimama tena popote ingekuwa majaliwa labda pengine kwa kubahatisha Bagamoyo ama Kilingeni Msata.

Na huko hawakuwa na hakika nini kingetokea ama dereva angewastukia kwa asilimia 100 na kuharibu Mipango yote!

Emergency plan B ilifanikiwa na wakaweza kuondoka naye! Inawezekana kabisa huko walikompeleka walitoshana nguvu pengine hata kabla ya mahojiano.

Kumbukeni yule ni mstaafu jeshini sio mtu wa kutishwa akatishika..Nina hakika wana walichezea vitasa

Kwa uzoefu wangu majeruhi na wahanga wa utekwaji na ugomvi, wale wote walioonesha upinzani mkubwa hasa wa kugawa dozi za vitasa na ngumi za chembe.. Walipozidiwa na watesi wao walipigwa sana vichwani kuliko sehemu nyingine za mwili.

Mnakumbuka simulizi ya Dr. Ulimboka? Naye kati ya wale watekaji wake kuna mmoja alidili naye papendicular.

Yaani kimlalomlalo ndio maana walipomzidi nguvu walimbonda sana kichwa

Kwenye mapambano ya kupigania uhai kuna myth zinasema kuwa macho hurekodi matukio na kuyahifadhi.. Je ni maana walimtoboa macho?,šŸ„ŗšŸ˜­

Kingine cha kuumiza sana sana ni matumizi ya tindikali... Kama ilikuwepo ya kummwagia usoni.. Maana yake ipogo ya kumwaga kwenye mwili mzima! Je siku hiyo haikuwepo ya kutosha?

Iliyokuwepo ilitumika wapi na lini?

Kuna kila dalili kwamba walipata tabu sana kumpata.Aliwapiga chenga za kutosha sana na kwakweli maandalizi ya kumteka na kukaa naye hayakuwa ya kutosha ndio maana yakatokea yote yaliyotokea na wakaona wasikae na mwili wake!

Je, hofu kubwa ilikuwa ninini?

Tuupe muda wakati utasema!

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

View attachment 3092791
Mkuu ukishapigwa pingu hauna ujanja hata ungelikuwa ni nani, watakufanya wanavyotaka na hauna ujanja.

Kurusha mingumi na mateke hadi mwili uwe huru.

Nadhani tujadili namna ya kukomesha mambo haya yaliyokithiri sana kwa sasa.
 
Nimeiona video yake akiogelea baharini mwamba yuko vizuri sana. Naamini aliwatandazia dozi za maana hawa maqumer
Yeah wapiga mbizi kama yeye wana pumzi sana
Kwenye kesi ya Mbowe na wale Commandos kuna mmoja anaitwa Mhina akiwa mahakamani anasimulia polisi walivyokuwa wanamfuatilia akiwa Tabora. Yaani mtu mmoja tu anafuatwa na gari mbili land cruiser hard top zilizojaa polisi wenye bunduki.

Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.
Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.šŸ˜
 
Nje ya Mada. Mkuu Mshana Jr Najiuliza katikati ya matukio kibao ya watu kupotea, PT walijitokeza na story ya mganga wa kienyeji kuwa ndie anapoteza watu, kwamba kapoteza watu zaidi ya 13.

Cha ajabu hadi leo hakuna picha ya mganga, picha ya makaburi waliyofukua, kesi mahakamani, ndugu waliojitokeza kuhusishwa na maiti zilizofukuliwa/zilizookotwa (coz marehemu wote PT walitawataja majina, wala hakuna hata kijiji, wilaya au eneo lolote kuna story hiyo inazungumzwa.

Kweli zama hizi ufukue maiti zaidi ya 13 halafu hilo eneo lisiwe story? Watu wa eneo hilo wawe kimyaaa.

Nahisi walikuwa wanatupanga kwa story ya kutunga kutuaminisha watu wanapotezwa na mengi, wao hawahusiki. Hili la huyu mzee limewaumbua zaidi. Nawaza tu.
Kweli zama hizi ufukue maiti zaidi ya 13 halafu hilo eneo lisiwe story? Watu wa eneo hilo wawe kimyaaa.šŸ“ŒšŸ”Ø
 
Afu lela ulela. Kwa mujibu wa taarifa za mwanzo ni kuwa gari ilikuwa ikitokea Tanga kuja Dsm, ila maelezo yako ni kama vile gari ilikuwa ikitoka Dar kwenda Tanga.
Inatupa picha hii simulizi yako ni ya kijiweni kabisa wala haina uhusiano na taarifa halisi
 
ndugu yangu, kwa tuliopitia sanaa za mapigano, ukishaona wamekufunga pingu tu, jua wamekupunguzia asilimia kubwa sana ya upinzani. na kama wanakujua wewe ni mjeda, jua hawatakufungua pingu ng'ooo usijewapora bunduki kwa utaalamu wako. hivyo tuomboleze tu ila sidhani kama kulikuwa na upinzani wowote.
Mbinu ziko nyingi sana ukishahisi usalama wako ni mdogo.. Unatulia kabisa na kujifanya zoba.. Kisha kiustaarabu kabisa unaomba kwenda msalani, kwakuwa ulikuwa mpole wanadanganyika na kukufungua walau mkono mmoja.. Ukitambua wazi kabisa nafasi ya kutoka salama ni finyu unaamua kufa kishujaa.. Unampelekea moto aliye karibu yako
 
Kule Mwananyamala ile miili mingine 3 imeshaondolewa kufuta evidence
Unaweza kukuta haipo tenašŸ„ŗšŸ˜­
 
Gari linalotoka Tanga linaanza kufika Mbezi au Tegeta?
Gari linalotoka Tanga likifika Tegeta litashusha abiria ama litapakia?
 
Upambane kwa mikono mitupu na watu walio na silaha tena wamekufunga na pingu? Unaangalia sana movie nini?

Chamuhimu zifanyike juhudi kubwa ukweli ufahamike na wahusika wachukuliwe hatua.
Angesema aligoma kuwapa wanachotaka Sawa, lakini sio kupambana kiasi cha kuleta upinzani!
 
Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo

Imformer
Gari mbili za kazi
'Watu' wenye silaha za moto
Pingu

Haukuwa utekwaji wa kawaida. Watekaji walikuwa wamejiandaa vilivyo kwa lolote.

Walikuwa wanajua kwa hakika aina ya mtu wanayemteka na ndio maana baada tu ya kumvamia walumvalisha pingu almaarufu kama bangili na kuondoka naye kwa haraka sana.

Kuna swali moja muhimu sana hapa kwanini waliamua kutekeleza tukio lao pale kituo cha Kibo?

Katika Mojawapo ya simulizi za dereva anasema aliiona gari ikimfukuzia kwa nyuma tangu baada ya kutoka Kituo cha mabasi Mbezi.

Madereva wazoefu huwa wanajua anayewafukuzia ama anayewafuata ama kuwafuatilia.

Rejea simulizi ya dereva wa Tundu Lissu
Dereva wa bus la Tashrif hakutoa mwanya kwa gari husika limpite.

Yaani alilibania mpaka walipofika Kituo cha Kibo na kulazimika kusimama kupakia abiria.

Hapo hapo watekaji wakaona wasifanye kisa bali wapige ambush palepale na ndio maana gari moja likapiga block nyuma na kingine mbele

Kwa hesabu za haraka walijua fika Tashrif haiokotezi abiria njiani hivyo kusimama tena popote ingekuwa majaliwa labda pengine kwa kubahatisha Bagamoyo ama Kilingeni Msata.

Na huko hawakuwa na hakika nini kingetokea ama dereva angewastukia kwa asilimia 100 na kuharibu Mipango yote!

Emergency plan B ilifanikiwa na wakaweza kuondoka naye! Inawezekana kabisa huko walikompeleka walitoshana nguvu pengine hata kabla ya mahojiano.

Kumbukeni yule ni mstaafu jeshini sio mtu wa kutishwa akatishika..Nina hakika wana walichezea vitasa

Kwa uzoefu wangu majeruhi na wahanga wa utekwaji na ugomvi, wale wote walioonesha upinzani mkubwa hasa wa kugawa dozi za vitasa na ngumi za chembe.. Walipozidiwa na watesi wao walipigwa sana vichwani kuliko sehemu nyingine za mwili.

Mnakumbuka simulizi ya Dr. Ulimboka? Naye kati ya wale watekaji wake kuna mmoja alidili naye papendicular.

Yaani kimlalomlalo ndio maana walipomzidi nguvu walimbonda sana kichwa

Kwenye mapambano ya kupigania uhai kuna myth zinasema kuwa macho hurekodi matukio na kuyahifadhi.. Je ni maana walimtoboa macho?,šŸ„ŗšŸ˜­

Kingine cha kuumiza sana sana ni matumizi ya tindikali... Kama ilikuwepo ya kummwagia usoni.. Maana yake ipogo ya kumwaga kwenye mwili mzima! Je siku hiyo haikuwepo ya kutosha?

Iliyokuwepo ilitumika wapi na lini?

Kuna kila dalili kwamba walipata tabu sana kumpata.Aliwapiga chenga za kutosha sana na kwakweli maandalizi ya kumteka na kukaa naye hayakuwa ya kutosha ndio maana yakatokea yote yaliyotokea na wakaona wasikae na mwili wake!

Je, hofu kubwa ilikuwa ninini?

Tuupe muda wakati utasema!

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

View attachment 3092791

UPUUZI TU UMEANDIKA. KIBAO ALISHAKUWA MZEE. HALAFU UMEJICHANGANYA KUWA ALIFUNGWA PINGU. KISHA UNASEMA WATU WALICHEZEA VITASA. MWANDISHI UMEANDIKA KAMA MADOGO WA VIJIWENI. HAMNA FACT NI HABARI ZA KUJITUNGIA TU. MWACHENI MZEE WETU APUMZIKE SIYO KUANDIKA ANDIKA HABARI ZA KIPUUZI KUTAKA MPATE COMMENTS NYINGI
 
Kwenye kesi ya Mbowe na wale Commandos kuna mmoja anaitwa Mhina akiwa mahakamani anasimulia polisi walivyokuwa wanamfuatilia akiwa Tabora. Yaani mtu mmoja tu anafuatwa na gari mbili land cruiser hard top zilizojaa polisi wenye bunduki.

Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.

MNADANGANYANA SANA NYIE MADOGO.
 
Angesema aligoma kuwapa wanachotaka Sawa, lakini sio kupambana kiasi cha kuleta upinzani!
Kabisa tena trained soldier aliepata mafunzo sawasawa achana na hawa wa miez 6 siku zote anafundishwa kuwa watulivu kwenye hatari hasa akiwa amebanwa na adui mwenye silaha ili kuangalia chance ya kuokoa uhai au kuchelewesha asiuwawe kama kuna msaada unakuja angalau umkute yuko hai, na haufundishwi kupambana vita ambayo unajua kabisa utashindwa.
 
Back
Top Bottom