Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 283,648
- 737,204
Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo
Imformer
Gari mbili za kazi
'Watu' wenye silaha za moto
Pingu
Haukuwa utekwaji wa kawaida. Watekaji walikuwa wamejiandaa vilivyo kwa lolote.
Walikuwa wanajua kwa hakika aina ya mtu wanayemteka na ndio maana baada tu ya kumvamia walumvalisha pingu almaarufu kama bangili na kuondoka naye kwa haraka sana.
Kuna swali moja muhimu sana hapa kwanini waliamua kutekeleza tukio lao pale kituo cha Kibo?
Katika Mojawapo ya simulizi za dereva anasema aliiona gari ikimfukuzia kwa nyuma tangu baada ya kutoka Kituo cha mabasi Mbezi.
Madereva wazoefu huwa wanajua anayewafukuzia ama anayewafuata ama kuwafuatilia.
Rejea simulizi ya dereva wa Tundu Lissu
Dereva wa bus la Tashrif hakutoa mwanya kwa gari husika limpite.
Yaani alilibania mpaka walipofika Kituo cha Kibo na kulazimika kusimama kupakia abiria.
Hapo hapo watekaji wakaona wasifanye kisa bali wapige ambush palepale na ndio maana gari moja likapiga block nyuma na kingine mbele
Kwa hesabu za haraka walijua fika Tashrif haiokotezi abiria njiani hivyo kusimama tena popote ingekuwa majaliwa labda pengine kwa kubahatisha Bagamoyo ama Kilingeni Msata.
Na huko hawakuwa na hakika nini kingetokea ama dereva angewastukia kwa asilimia 100 na kuharibu Mipango yote!
Emergency plan B ilifanikiwa na wakaweza kuondoka naye! Inawezekana kabisa huko walikompeleka walitoshana nguvu pengine hata kabla ya mahojiano.
Kumbukeni yule ni mstaafu jeshini sio mtu wa kutishwa akatishika..Nina hakika wana walichezea vitasa
Kwa uzoefu wangu majeruhi na wahanga wa utekwaji na ugomvi, wale wote walioonesha upinzani mkubwa hasa wa kugawa dozi za vitasa na ngumi za chembe.. Walipozidiwa na watesi wao walipigwa sana vichwani kuliko sehemu nyingine za mwili.
Mnakumbuka simulizi ya Dr. Ulimboka? Naye kati ya wale watekaji wake kuna mmoja alidili naye papendicular.
Yaani kimlalomlalo ndio maana walipomzidi nguvu walimbonda sana kichwa
Kwenye mapambano ya kupigania uhai kuna myth zinasema kuwa macho hurekodi matukio na kuyahifadhi.. Je ni maana walimtoboa macho?,🥺😭
Kingine cha kuumiza sana sana ni matumizi ya tindikali... Kama ilikuwepo ya kummwagia usoni.. Maana yake ipogo ya kumwaga kwenye mwili mzima! Je siku hiyo haikuwepo ya kutosha?
Iliyokuwepo ilitumika wapi na lini?
Kuna kila dalili kwamba walipata tabu sana kumpata.Aliwapiga chenga za kutosha sana na kwakweli maandalizi ya kumteka na kukaa naye hayakuwa ya kutosha ndio maana yakatokea yote yaliyotokea na wakaona wasikae na mwili wake!
Je, hofu kubwa ilikuwa ninini?
Tuupe muda wakati utasema!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo