ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,923
- 6,932
Eti anafanya promoUlikuwa unatu bip eh! usirudie tena kutuwekea utamu hivi halafu unaingia mitini sawa nameless girl? sirudi tena hapa kwenye post yako, kwa nini kunyanyasa roho za wana wa wenzio hivyo? au umepigwa 'ban na moderator?