Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 419
Usiwasikilize hao nameless girl!!Nyie mnaoiba ndo muache roho mbaya. Unapaswa kuwa civilised kujua kuthamini mali ya mtu. Unapotaka kutumia, jaribu kuomba kwa mwenye nacho. sio kujichukulia kama vile anayekimiliki alikupa wewe. Kuna kipindi baba mwenyewe aliingia mjini kukamata watu wa aina yenu. Na wengi waliibuka na hatia. Sasa hayupo, mnaona mtumie mpendavyo.
Anyway, sitaimaliza, natoa kidogo tu kwaajili ya kupromote kitabu.