Goli Bora la Msimu NBC Premier League

Mpaka sasa ligi kuu TANZANIA BARA ilipofikia unadhani ni goli gani linapaswa kuwa goli bora la msimu huu wa 2024/2025

Kwa upande wangu goli alilofungwa dijgui diara na SELE BWENZI wa kengold(FULL TIME YANGA 6-1KENGOLD)

Yapi maoni yenu wanamichezo
Nadhani la Nassor Saadun dhidi ya KMC
 
Back
Top Bottom