Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

... kwa hiyo ulikuwa chumbani siku hiyo ndio ukaenda kutoa taarifa?
Umeelewa nilichomaanisha au umejisikia tu kuropoka?

Labda nikuulize :
Wewe ni mangapi ya aibu unayofanya kwa siri ukiwa chumbani mwako??

My point is, sisi Wanadamu bila ya kujali vyeo vyetu au hadhi yetu mbele ya jamii lakini tuna tuna siri nyingi zilizofichika. Hivyo siyo ajabu kusikia Zitto na Maalimu waligombea shoga.
 
Mimi hata sishangai. Waoneni tu watu kwa nje, lakini yale wanayoyafanya wakiwa vyumbani mwao ni mazito mno.

Kuta za vyumba zingekuwa zinaongea watu wengi sana wangeumbuka.
Ni rahisi kuthibitisha Hamza ni mwana ccm kuliko kutjibitisha zito na seifu wanampumulia kichogoni sufiani
 
Kwa hiyo ni sawa na ni sahihi kwa gazeti kuleta mambo ya chumbani hadharani??
 
Kwa hiyo ushoga imeruhusiwa kisheria?

Kwanini hawakuwakamata?


Kuna wakati mwingine unaweza kujitoa akili kumtetea mtu kumbe unaainisha nchi yako kuwa kuna ushoga katika nchi yako na viongozi wa nchi yako wanagombea shoga na Serikali ipo!? Unatoa ujumbe gani kwa serikali?

Kwamba ushoga imeruhusu?
 
Huyu Musiba hivi ameshamlipa fidia Fatma Karume zile bilioni 3.7 za kumchafua ambazo Mahakama kuu kule Zanzibar ilimtia hatiani kwa kuchapisha habari za uongo?
 
Weka hiyo clip na sie tujionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…