KIMARA BRIDGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 262
- 270
hivi hii tanzania nani katuloga???????? hivi ni kweli watanzania wameenda shule???? hivi ni kweli baadaye wajukuu watatuelewa??? ni hayo tuuuKuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha na ushoga kwa kumgomania mtu anayejulika Kama Suphian Juma ( ni member wa JF)
Video hiyo imezua utata kwa kuwa mzigwa anasema gazeti hilo lilithibitisha (nitaiweka hapa soon ) kuwa ishu ya ushoga ilikuwa kweli
View attachment 1944504
Tazama video:
View attachment 1944666