Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,955
Umeelewa nilichomaanisha au umejisikia tu kuropoka?... kwa hiyo ulikuwa chumbani siku hiyo ndio ukaenda kutoa taarifa?
Labda nikuulize :
Wewe ni mangapi ya aibu unayofanya kwa siri ukiwa chumbani mwako??
My point is, sisi Wanadamu bila ya kujali vyeo vyetu au hadhi yetu mbele ya jamii lakini tuna tuna siri nyingi zilizofichika. Hivyo siyo ajabu kusikia Zitto na Maalimu waligombea shoga.