A
Anonymous
Guest
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora.
Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini siku zote kumekuwepo na changamoto nyingi zinazo wakumba watanzania walioajiriwa katika nafasi kama vile vibarua (labour), mafundi, ma operator, ma sefti na ma foremen etc.
Changamoto hizo ni malipo hafifu na kulipwa nje ya kiwango cha serikali Mfano kiserikali kibarua anatakiwa kulipwa walau Tsh 16,000 lakini wengi wanalipwa 12,000 bila hata NSSF na kunyimwa mikataba saa nyingine kutishiwa kufukuza kazi.
Changamoto kubwa zaidi ni usalama wa wafanyakazi wakiwa kazini hauzingatiwi kabisa kuanzia PPE na hata kazi wanazofanya na muda wa kufanya kazi hizo una hatarishi afya zao saa nyingine hata maisha yao.
Ujio wa kampuni nyingi za ujenzi za kichina umesababisha ufanyaji kazi kiholela holela na hatarishi kwa afya na maisha ya watu, serikali imekuwa ikitazama na imeridhika kuona nguvu kazi ya taifa inapotea.
Hivi karibuni katika ujenzi unaoendelea wa kituo cha biashara cha Afrika Mashariki (East Africa Commercial and Logistics Center - UBUNGO) katika eneo la stand ya zamani ya mkoa ya Ubungo (UBUNGO TERMINAL).
Kampuni za kichina ya CHUAN-TZ na sub-contractor wenzake chini ya CCECC main contractor wa ujenzi wa kituo hicho cha biashara imesababisha kifo cha kizembe cha moja ya fundi anayefanya kazi ndani ya site hiyo.
Wakati ujenzi huo unaendelea hivi karibuni pametokea kifo cha fundi aliyekuwa anapiga plasta kuanguka kutoka ghorofa ya pili mpaka chini na kupoteza maisha muda mfupi akiwa njiani kupelekwa hospitali baada ya kukosa huduma ya kwanza madhubuti ndani ya saiti hiyo, ambapo kila kampuni ya kichina ilikana kuwa huyo si mwajiriwa wao. Kijana amesafirishwa kwao Tabora na kuzikwa kimyaa kimyaa, huu ni UNYAMA WA HALI YA JUU.
Imekuwa hali ya kawaida watanzania wengi kupoteza maisha katika miradi ya aina hiyo kizembe kabisa kwa kukosa vifaa maalumu vya kazi na saa nyingine kulazimishwa kufanya kazi hatarishi pasipo PPE.
Mbaya zaidi ni kuwa matukio haya ya watu kupoteza maisha ndani ya site hufunikwa funikwa AS IF NOTHING HAS HAPPEN.
Ni lazima tupaze sauti tukiendelea kunyamaza kimya tutapoteza uhai wa ndugu zetu watanzania ndani ya miradi hiyo.
Ni upumbavu kusema eeti mambo hayo ya watu kupoteza uhai ni kitu cha kawaida tu sehemu kama hizo za miradi HAPANA, haki ni lazima ipatikane.