Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate
📆 29.12.2024
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni
Kila la heri kwa Fountaine Gate
IMG_4767.jpeg
 
🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate
📆 29.12.2024
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni

View attachment 3187603
#Daimambelenyumamwiko#
Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi.
Nimechelewa kwenye mishe mishe; nilitaka kuwahi nianzishe uzi huu ila tena umeshanipiku. Ngoja nitafanya taimingi nzuri kuanzisha uzi wa wakati wa mchezo dhidi ya TP Mazembe.

Nitafurahi sana iwapo Yanga itapata mabao 5-0 ili kuondoa pengo la Goal Difference dhidi ya Simba
 
Kila la kheri Yanga SC 💚 💛 chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Leo ndio utaskia milio kuwa GSM anaharibu ligi huku wale wanetu zikiwa zimebaki goli 4 tuwe sawa milio Itakuwa mwingi jioni ya Leo 😃😀😀
 
Tunaanza kupunguza gape Moja baada ya lingine,,walikuwa Wana goal difference ya 24 kwa 13 lakini baada ya mechi 2 tu ikabaki 25 kwa 21,,walikuwa wameruhusu goli 3 na yanga 6 lakini baada ya mechi 3 tiyali imebaki 5 kwa 6,, kwa Wenye D 2 ni rahisi kuelewa ni timu Gani imeongeza kitu na timu Gani inanyata mwendo wa kobe
 
Naunga mkono hoja mkuu
 
Back
Top Bottom