Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
790
1,669
KMC FC Vs Yanga SC
| NBC Premier League
| KMC Complex
| Februari 14, 2025
🕖 10:15 Jioni
Snapinst.app_474528557_18357145702135476_330522016194525425_n_1080.jpg


Updates..

Dakika, 27 Bado Yanga wanaongoza goli 2

Dakika, 29 Yanga wanapata freekick

Dakika, 31 wamepata freekick lakini wanakosa kutumia nafasi

Dakika, 38 KMC wanapata freekick

Dakika, 39 KMC wanafanga mabadiliko ya wachezaji wawili

Dakika 2 zimeongezwa kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Half Time: KMC 0 - 2 Yanga SC

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza

Pacome amechukua nafasi ya Mzize

Dakika, 49 goooool Aziz Ki anawapatia Yanga goli la 3

Dakika, 51 KMC wanapata goli

Dakika,54 Sure boy anaingia kuchukua nafasi ya Aucho

Dakika, 56 Yanga wanapata Penati

Dakika,56 Aziz Ki akitupia goli 4 kwa Yanga na inakuwa Hat trick

Dakika, 61 Chama anachukua Mudathir Nondo anachukua Nafasi ya Bacca

Dakika,64 Nondo anakosa nafasi ya wazi ya kufunga goli.

Dakika,66 Duke Abuya anaingia kuchukua nafasi ya Aziz Ki

Dakika,67 Chilunda anaingia kwa upande wa KMC.

Dakika,69 Mchezaji wa KMC anapata kadi ya njano.

Dakika, 72 KMC wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili.

Dakika,80 Dube anakosa goli.

Dakika, 90 gooooool Max anatupia goli la 5 kwa Yanga.

Dakika 4 zimeongezwa

Dakika,94 Israel Mwenda anafunga goli la 6

Dakika 90 zimekamilika.
 
Leo Ndiyo Leo Kivumbi Na Jambo, Kamasi Jembamba.
Akipigwa Uto Ujue Mzee Kur Juan Anapewa Team Rasmi
Yanga sio Simba.
Huo uzwazwa yanga waliachana nao miaka hiyooooo.

Kama timu iliishi kwa michango ya mashabiki na bado ikawa haikosi top 2 ya ligi sembuse na sasa??
 
Inshaallah game itaisha kwa kmc kupata ushindi leo, ila tuwe wakweli kwa mara ya kwanza Baada ya miaka 3 mashabiki wa yanga 50% wanaihofia simba inaweza kubeba ubingwa, simba hii ya mpanzu kushoto kulia kibu moto utawaka msimu huu:FIRE::FIRE:🔥
 
Back
Top Bottom