Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,485
3,974
SIKU YA MECHI KALI.
20250206_153015.jpg


VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
20250206_153913.jpg
p
20250206_153919.jpg

UPDATES.....
4:15pm Kandanda imeanza tayari,
Game inapigwa zazuri kabisa.

DK 2
Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha.
Unarushwa hauleti madhara yoyote
0-0

DK 4
Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa.
Simba wako kwenye umiliki sasa
0-0

DK 5
Simba wanapata kona, inapigwa na Ahoua, Inatua kichwani kwa Ateba, inatoka nje, goal kick.
0-0

DK 7
FG wanafanya shambulizi kali langoni kwa Simba.
Inakuwa off target.
Kwa kifupi mpira ni mkali sasa.
Na timu zinashambuliana sana hapa.
0-0

DK 11
Simba wanapata goli hapaaaa.
Offside.
Tayari alikuwa ameotea.
0-0

DK 15.
Simba wanatawala mchezo huu kwa dakika hizi za mwanzoni.
Mpira unaendelea sasa,
0-0

DK 18.
Simba wanapata kona yao ya pili, inapigwa na Chasambi hapa.
Inakuwa kona mkaa.
Haileti madhara yoyote kwenye lango la FG.
0-0

DK 21
Simba wanapata kona, inapigwa haraka haraka.
Haileti madhara.
Chasambi anafanyiwa faulo nje kidogo ya 18 anapiga Ahoua inaishia kwa FG.
0-0

DK 24
Mpira umesimama kidogo baada ya Mchezaji wa FG kugongana na Che Malone.
ametolewa nje kwa matibabu.
Refa anaamu free kick kuelekea FG.
Inapigwa inababatizwa.
0-0

DK 26
Mpanzu anafanya shambulizi kali kwa FG wanaokoa.
Elia Mpanzu anaonekana kuumudu sana mchezo siku ya leo.
Ngoja tuone inakuwaje.
0-0

DK 29
Simba wanafanya shambulizi jingine matata sana hapa.
inakuwa goal kick.
0-0

DK 31
Simba wanapiga kona hapa.
Ahoua anachonga kona nzuri ila haileti madhara yoyote kwa FG
0-0

DK 36
Daniel Joram wa FG anapata kadi ya njano baada ya kumchezea Rafu mbaya Elia Mpanzu.
0-0

DK 40
Amos Charles wa FG anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Ahoua.
Inakuwa free kick inapigwa che Malone anautoa nje kwa kichwa.
0-0

DK 42
Elia Mpanzu anapiga V pasi mujarabu kabisa hapa.
Inatolewa na FG anaipata Chasambi, anapiga nje.
0-0

DK 45,
Additional Minutes 4.
Kipa wa FG anapewa Yellow kadi kwa kuchelewesha muda wa mchezo.
0-0

DK 45+4
Simba wanapata kona, inapigwa inapitiliza nje.
0-0

HT
FGT 0-0 Simba.
===========================

Updates 2nd Half.

DK 45
FG wameanza mpira kwa kasi kidogo hapa.
ila wanakosa utulivu.
Umiliki unarudi kwa Simba.

DK 48
Simba wanafanya shambulizi kali sana kwa FG.
Unaishia kwa kipa.
0-0

DK 50
Anapiga kick moja matata sana .
Inatolewa na Kipa, inakuwa kona anapiga kona Chasambi inatoka nje.
0-0

DK 57
Goooooooooooal
Simba wanapata goli la kwanza hapa.
Atebaaaaaaaaa
Ilikuwa hivi, ilikuwa free kick.
Ikaanzwa haraka haraka.
Ikapigwa kwa Ateba.
Akawekwa ndani.
0-1
Simba wanaongoza

DK 62
Chasambi anapata kadi ya Njano
0-1

DK 63
Sub wanafanya FG
Mpira sasa ni free kick wanapiga Simba.
Anaipiga Ahoua inatoka nje.
0-1

DK 70
Simba wanapata kona. Anaipiga Mpanzu inakuwa butu.
Wakati huo
Ahoua anatoka nafasi yake inachukuliwa na Debora Mavambo
0-1

DK 75
Chasambi anajifunga. goooooooooooal
alipiga back pass ndefu iliyomshinda Camara.
1-1

DK 80
Mutale Inn
Chasambi Out
Ngoma Out
Mukwala Inn
1-1

DK 85
Nouma Inn
M.Hussein Out
Game on
1-1

DK 90.
Nyongeza ni 9'
Mpira umesimama kidogo.
Mchezaji wa FG yuko chini.
1-1

DK 90+3
Goli kipa wa FG Noble John anapewa kadi ya Njano ya pili.
Ni Red.
Anatoka Mshambuliaji wa FG anakuwa GK
1-1

DK 90+6
Simba wanapata kona inapigwa haileti madhara yoyote kwenye lango la FG
Game On
1-1

DK 90+11
Simba wanapata kona nyingine hapa inàpigwa inaokolewa
Wanafanya shambulizi kali sana kwa kweli Wachezaji wanagongana inakuwa GOal Kick.

DK 90+13
Mpira Umemalizika.
FT
Fountain Gates FC 1- 1 Simba Sc.
IMG-20250206-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom