Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,663
- 7,964
Moja.Mtashinda goli ngapi?
Moja.Mtashinda goli ngapi?
Walicheza nao kwa dk 48 mashujaa wakiwa pungufuNaona kuna wapuuzi wanataka kusema refa kaipendelea Yanga kisa kutoa kadi nyekundu kwa coastal union.
Kadi nyekundu coastal union walistahili kwa beki wa mwisho kumvuta jezi Aziz Ki.
Kwa anayejua mpira na anayefahamu mpira ile kadi nyekundu ni ya halali.
Huwezi ukamvuta jezi mchezaji anaeenda kufunga halafu uachwe.
Ila hao simba walisahau walicheza na Mashujaa wakiwa pungufu uwanjani na wakashindwa kuwatoa katika kombe la shirikisho CRDB.
Kama kuna mbumbumbu atajihusisha na hii post nambie mkuu..Kama mbeleko ni rahisi kubebeka tuwaulize nyie mliposhindwa kumtoa Mashujaa waliokuwa pungufu tokea first half
Ndio kuna wajinga wanataka kuleta zogo eti refa kapendelea.Walicheza nao kwa dk 48 mashujaa wakiwa pungufu
Ile card ilikuwa obvious sana jamaa alivuta kwa kunyonga kabisa
Ata kama ni mechi moja ila huyo golikipa ni mzuri.Isingekua yeye coastal angelala nyingi sana.Una uhakika simba magolikeeper sio tatizo.au bado unamhesabu manula.?.Tunataka magolikeeper wenye ubora unaoshabihiana,sio namba moja akiwa majeruhi tunaanza degedege kama yanga walivyolalamika kukosekana kwa diara mechi za mwanzo club bingwa.Simba haina tatizo la goalkeeper. Halafu si jambo jema kumuangalia mchezaji katika mechi chache na kutoa conclusion
Wakikujibu nitagi nami tafadhali nilione hilo Jibu lao sawa?Huwa mnalipwa pesa kuanzisha hizi thread?
Natamani mumjue huyo mwenye hiyo ID Kongwe ni nani ila ngoja nijinyamazie tu na Nicheke zangu.Halafu ukicheki ID ni ya mkongwe kabisa
Ni mzigo wa ShingoHili siyo jukwaa la umbea, yani mchezaji tegemeo akae tu nje mida wote wakati yuko fit?
Hivi vichwa mnafugia nywele tu havina ubongo.
Unatamanije¿Natamani mumjue huyo mwenye hiyo ID Kongwe ni nani ila ngoja nijinyamazie tu na Nicheke zangu.
Cc: Dr Matola PhD