FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Walikuwa wanatangaza biashara ya boss wenu jesemu...
 
Hii video hapo juu ndio tatizo lilianzia hapo.Ndio utajua uwezo wa kufikiri wa Gongowazi. Manara alisema kweli wenye akili zinazofanya kazi ni wawili tu.
 
Yanga haikufungwa!
1000226758.jpg
 
Hakika Mzab.
Aise nawaambie yule full bekinwa singida big stars ande mtu na nusu. Atawasaidia mkimpata maana yao yao majeraha mengi. Kibwana sio kwality ya robo fainali.

Dube ata huko azam alikuwa anaishia raundi za awali so hana experience ya kucheza makundi. Atawafunga kengold tuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom