FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Sisi tunaongelea mambo yanayohusu maendeleo ya nchi halafu wewe bado unaleta mchezo wa zamani?
1000230023.jpg
 
Ila uzuri mechi za mwisho ndo zitaamua nani anaenda robo, Uto walivoshinda na Copco walipata pwenti 3... wakishinda na Kagera watapata tatu zingine huku Mazembe na Copco wakitoa sare ya magoli yoyote yale Uto wanaenda robo 😂
 
Back
Top Bottom