FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Yanga Leo akipigwa anarudi ligi NBC rasmi.Ndoto za robo kwisha.
 

Attachments

  • Screenshot_20241208-014152.jpg
    Screenshot_20241208-014152.jpg
    326.5 KB · Views: 2
Ubaya ubwela......tupo hapa Lubumbashi kwa wingi tuna ngojea muda muchezee KOKI kwa Mara nyingine ili muelekeze nguvu ligi kuu Tanzania bara ambapo mtapigwa na kila anae jiweza.
 
Yanga Ikifungwa kocha afukuzwe

Injinia hersi said atuachie timu yetu

Hii timu ya kwetu wananchi
 
Kila la kheri chama langu Young africans sc 💚🖤💛🖤💚🖤💛🖤💚🖤💛💛💛💛💛💚

We win together, We loose together

#DaimaMbele 💚💚💚 #NyumaMwiko 💚💚💛
 
Back
Top Bottom