Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,355
- 2,508
Hiki ndicho kikosi cha kupambana na TP?DIARRA,YAO,BOKA,JOB,BACCA,AUCHO,PACOME,KI,MUDA,DUKE,CHAMA
Hivi Diarra bado mnampa nafasi ya kwanza kama kipa wa timu? 0
Ili mshinde mechi ya leo mpeni ushauri kocha wenu apange kile kikosi kilichoipiga goli 2 Namungo FC