sisi ni kama kifo tupo muda woteAngalau sasa tujae kwenye uzi
ataingia kupiga goli la 5Hii game inamuhitaji Chama
Uzi tupo nao na tunatamba naoYamekimbia uzi wao 🤣🤣🤣
Itakua hivyo maana hao jamaa wanachafua tu jezi hapo uwanjani.Kama kawaida Yanga watainunua hii mechi ili kupoza machungu ya Simba kuingia fainali ya CAF
Hatucheziiiiii....!! Pambaneni na hali yenuuuKama kawaida wazee wa sinema zetu wapo uwanjani leo,unadhani nani starring?
Mwamuzi,kipa ama mabeki?