kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,733
- 16,966
π°πππππππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Fountain Gate FCπYoung Africans SC
π 21.04.2025
π Tanzanite Kwaraa
π 10:00 Jioni
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
KIKOSI CHA FGFC kinachoanza.
Kikosi cha Yanga Kinachoanza.
Updates
Kipindi cha Kwanza.
00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko katikati hapo.
Umiliki kwa Yanga.
01' Yanga wanajaribu kufanya shambulizi hapa, linakuwa hafifu, Mzize anaingia kwenye box anaanguka refa anaiona kama fair challenge.
0-0
03' FGT wanaingia kwenye 18 ya Yanga inapigwa juu, off target.
0-0
09' Mpira unaendelea umiliki bado ni 50x50.
Piga nikupige. Magoli yote yanafikika.
Yanga wanafanya mashambulizi ya hapa na pale.
0-0.
10' Mudathir anapokea pasi safi kutoka kwa Mzize anapiga haijakaa mguuni vizuri ina kuwa off target.
0-0
Wachezaji wawili wako chini mmoja wa FGT na Yanga (Mwenda, Israel).
0-0
15' Edgar William anafanya attempt moja hapa inakuwa off target kichwa hakijakubali.
0-0
18' Daniel Wa FGT anapewa yellow card baada ya kumchezea rafu Mudathir
0-0
22' Yanga wanafanya shambulizi kali, anapiga Duke Abuya, kipa anatema inakutana na Aziz K, kipa anaiblock.
Ilikuwa nafasi ya wazi kabisa kwa Yanga.
0-0
26' Yanga wanapata kona anapiga Aziz K haileti faida kwa timu.
0-0
28' Yanga wanapata kona nyingine inaanza pasi fupi kwa Mudathir inaokolewa.
0-0
29' Israel Mwenda anapata kadi ya njano kwa kufanya madhambi katikati ya Uwanja.
0-0
Free kick wanapiga FGT inaokolewa
30' Mzize anapiga shuti kwenye goli la FGT inakuwa Off target.
0-0
33' Salim Kihimbwa wa FGT anapatiwa kadi ya njano.
0-0
37' Yanga wanapata free kick anaipiga Aziz kipa anatema Mzize anatupia.
Gooooooooal Mzizeeeeeeee
Chuma cha Kwanza
Dakika ya 38.
0-1
41' Mzize anakimbiza ball, anapiga far post, inakuwa off target
0-0
43' Azizzzzzzzzzzzzzzzz K Goooooooal.
Noble anatoa Assist.
Chuma cha pili.
0-2
45+2' FGT wanafananya mabadiliko ya Kipa.
John Noble anatoka
Rashid Ibrahim anachukua nafasi yake.
45+3' Wakati huo kunatokea mzozo hapa kati ya waamuzi na Wachezaji wa FGT, Kihimbwa alimchezea rafu Mwenda.
0-2
45+5' Yanga wanafanya kaunta attack hapa, Kipa wa FGT anatoa inakuwa kona, inapigwa haileti madhara.
Refa anapiga kipenga, ni HT
FGT 0 - 2 Young Africans
==========<<<<>>>>>>=======
Updates
Kipindi cha Pili.
45' FGT wameanza mpira kwa kasi kidogo, wameshindwa kumantain.
0-2
47' Yanga wanaingia kwenye box la FGT mpira unapotea, Mzize anashindwa kuwahi pass aliyotanguliziwa na Aziz
0-2
49' Mabeki wa Yanga wanachanganyana hapa, inakuwa kona, Mkono wa FGT yuko chini akifanyiwa matibabu.
Inapigwa kona Diara anaitoa inakuwa kona nyingine, anapiga Kihimbwa inatolewa nje.
Goal kick...
0-2
53' FGT wanapata kona, inapigwa inakuwa goal kick
54' Yanga wanapata kona pia, inapigwa inababatiza inaokolewa.
FGT wanafanya Substitutions 2 hapa.
0-2
57' Dube anakosa goli la wazi hapa.
Alibaki yeye na kipa tu.
0-2
60' Yanga wanapata kona inaanza kona fupi, inarudi kwa Aziz anapiga kuubwa, inakuwa goal kick
0-2
61' FGT wanataka kona, inapigwa inaishia kwenye mguu wa Mwenda.
0-2
63' FGT wanafanya Sub nyingine 2.
Mpira unaendelea
0-2
65' Yanga wanafanya Sub.
Aziz Out
Chama Inn
Mudathir Out
Ikangalombo Inn.
Mpira umesimama kidogo kuna mchezaji wa FGT yuko chini.
0-2
70' Mzizeeeeeeee Gooooooooal
Chuma cha Tatu.
Ikangalombo anatoa Assist nzuri kwa Mzize ilikuwa ni move nzuri sana ya goli.
0-3
72' Yanga wanapata kona, wanaanza kona fupi, inapoteza uelekeo.
0-3
85' FGT wanapata kona, inapigwa anadaka Diara.
Anaianzia karibu.
0-3
87' Yanga wanapata Faulo nje kidogo ya 18. Anaenda kupiga Chamaaaaaaa...
Goooooooooooal chuma cha nne Dakika 89.
0-4
Dube Out
Farid Inn.
90' FGT wanaanza kona fupi haraka haraka haileti impact.
0-4.
Additional Minutes 5.
90+2' Kibabage anachezewa Faulo mbaya kidogo hapa.
0-4
90+5
FT
Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC.