Pole sana, usijali tunashinda Coast leo.Da TANESCO wamefanya yao huku hawa mbwa wanakera sana
Amesaidia nn ktk mechi hii?Kibu D hata asipofunga msimu mzima, huu usaidizi wake Kwa timu ni muhimu sana.
Hakuna😃😀😄Amesaidia nn ktk mechi hii?
maelekezoMbona offside nyingi😆😆
Naona kocha ameanza kuicheza mechi ya Tarehe 8 leo.Kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Simba Sports!!