Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 12,394
- 39,844
Hawa Namungo wakiwa serious kidogo tu Azam anakuga khamsa
Halafu wakila hivi wanatakiwa wawe na nguvu zaidi maana vyote ni source ya energy...Kwani Azam wanakulaa ugari na sukari mbonaa ivoo tenaa...
Wanatia hasira ila wakikutana na makolo lazima makolo walambe mchangaKwakweli hawa vijana wana tia hasara...bora Fei beiby arudi kwao Utopoloni
Kpcha wa Namungo ninani kwasasa, (kwa leo)Dakika ya 26'
Azam keshapigwa Chuma 2.
Azam 0 - 2 Namungo.
Poa mzeeNiliweka mikeka mitatu
1. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na penati kutokea
2. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na kadi nyekundu kutokea
Tayari hiyo ya Namungo kuwa mwanzo kupata goli imeshatokea. Ikitokea na kadi nyekundu au penati mnitag
Safari hii watapigika sana ndugu utopolo...yani kwa pira objective watateseka sana..Wanatia hasira ila wakikutana na makolo lazima makolo walambe mchanga
Hamchelewi kumkataa roberthinoSafari hii watapigika sana ndugu utopolo...yani kwa pira objective watateseka sana..