Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
Point ya earth kula umeme mwingi sana imekaaje? mans nijuavyo earth inamlinda consumer na leakage ya umeme ktk metal frame yani umeme unaozagaa unapelekwa underground na earth ..wataalamu sio kweli kuwa earth inachangia bili nadhani acheki wiring tu kama imetumia vifaa ambavyo viko standard kisize kama nyaya na appliances zakeNadhani kuna haja ya kuangalia earthing system kama haivujishi umeme na pia kama wiring haijachakaa sana.
Kuna wakati nilipanga nyumba nzima, luku ikawa inaenda haraka sana ila badae tukaja kuangalia tukakuta wiring haikufungwa vizuri na pia earthing ilikuwa inapoteza umeme sana.
Fundi akaja kufunga wiring upya na kuweka sawa mambo.
Mambo yalikuwa vyema sana.