kipimo cha matumizi ya umeme (LUKU) UNIT = 1kWh
maana yake nini ... mtumiaji wa umeme anatumia amperage/electric current (mkondo wa umeme ) unaosukuma na voltage nadharia hii ni sawa na maji na pressure ya maji sasa kuna kitu ambacho mlaji/mtumiaji umeme anakitumia sana
kitaalamu tunaita real power /watt ambacho kipimo chake ni WATT.. na ndio maana vifaa vyote vya umeme majumbani na viwanda ukisoma nameplate/taarifa zakifaa rating ya kifaa inapima na wattage au Horse power ambazo kwa formula ni
real power (watt)= voltage x current x power factor ..
mathematically P= VICOSQ...
kwenye umeme kuna aina nyingi ya mizigo/load/vifaa
kwanza naweza toa maana kidogo ya electrical load
Electrical Load Definition:
the Electrical Load is The part or component in a circuit that converts electricity into light, heat, or mechanical motion. Examples of loads are a light bulb, resistor, or motor.
kwa hivyo basi electrical load ni hivyo vitu kama pasi,jiko la umeme,redio,taa,nk
sasa electrical load zinaweza kuwa classified kwa namna tofauti...na hizi ndio mara nyingi zinajustify consumption ya MLAJI/MTUMIAJI UMEME
Electrical Load Classification and Types:
the electrical loads can be classified into various categories according to various factors as follows:
1- According To Load Nature-1
- Resistive Electrical Loads.(bulb,heateretc).
- Inductive Electrical Loads.(motor na vitu vyote vyenye coil)
- Combination Electrical Loads.
namna ya pili na muhimu hapa ni hii
2- According To Load Operation Time
- Continuous Electrical Loads.(hapa unapowasha masaa 24/7 mfano unapowasha friji masaa 24/7)
- Non-Continuous Electrical Loads.(hapa kama vile unavyotumia blender ,heater nk)
zipo classfication nyingi ila kwa kujifunza na kwa umuhimu tuzijue hizi na ndio mara nyingi zina husika sana kwenye huu ukokotozi wa matumizi yako ya kila siku ya umeme
mfano ukitaka kujua taa yako ya energy saver 5W say inakula UNITI ngapi za umeme kwa kuwa yenye resistive load
UNITI=kWh = 5W X muda wote taa itakapokuwa imewasha na kipimo ni kwa masaa
mfano hii taa imewaka masaa mawili
unachukua
5W X2HRS=10wh ambazo ukipeleka kwenye kwh unagawa kwa 1000 utaona umetumia 0.01kwh sawa na 0.01unit
Kumbuka kuna vitu vingi sana vinachangia hili tatizo la watu kuona matumizi makubwa ila kubwa sana na muhimu ni hili
1.wiring mbovu zisizofuata viwango..
2.wiringi zilizochakaa
3.mfumo mbovu wa earthing/earth leakage (wadau juu wameeleza) ..
nashauri wadau zingatieni sana ushauri wataalamu maana kuna matatizo mengi sana yanatokana pasipozingatia ushauri wakitaalamu...
kama unaamini wiringi yako iko vizuri unaweza tumia hayo mahesabu juu ukapata average demand yako ya siku ya umeme...
MUHIMU nikujua rating/uwezo wa vifaa vyako vyote..nyumbani na unavitumia nyakati gani...
mkuu kama upo sahihi, jana usiku nilizima redio kwa kuichomoa wire kwenye socket na kuiacha fridge ikiwa on kama kawaida, leo asubuhi nikaenda kuangalia score board 'luku' nikanotice nimesave 0.24kwh.Fridge ina mota...'induction power'...na mara nyingi uwa inajiwasha na kujizima...wakati inajiwasha huwa inanyonya umeme mwingi kwa ajili ya hiyo (induction power), starting power inaweza kufika hata 500W ingawa inakuwa kwa muda mfupi. Hivyo kuna uwezekano ongezeko hilo linatokana na frigdge.
Redio unafikia kiwango cha 250 W pale unapofungulia kwa sauti kubwa...maximum volume. Lakini kama redio unafungulia kwa sauti ya chini...kunauwezekano ikawa inatumia just 80 W.
Inategemea unawasha kwa muda gani.. kwa mfano kila kifaa ukikiwasha kwa saa moja;
1. fridge itakula 0.09Kwh
2. radio itakula 0.25Kwh...
Kwa kuongezea kuna utafauti kati ya. kusikiliza nyimbo za injili zinatumia umeme kidogo ila. hip hop inakula. umeme sana.
nimerudi na jibu mkuu, jana usiku nimezima radio 250W kwa kuichomoa kabisa kwny socket na kuiacha fridge on kama kawaida, leo asubuhi nimeangalia luku inasoma ngapi nikanotice nimesave 0.24kwh so.. sioni kama hii radio ina impact ukizingatia watts zake kuwa kubwa kuliko fridge
nimerudi na jibu mkuu, jana usiku nimezima radio 250W kwa kuichomoa kabisa kwny socket na kuiacha fridge on kama kawaida, leo asubuhi nimeangalia luku inasoma ngapi nikanotice nimesave 0.24kwh so.. sioni kama hii radio ina impact ukizingatia watts zake kuwa kubwa kuliko fridge
angalia sehemu ulipoiweka friji yako pasiwe na joto au ventilation mbovu.. kama umeiweka sehemu hizi tajwa.. compressor yake itafanya kazi kubwa zaidi
Kwa kuongezea kuna utafauti kati ya. kusikiliza nyimbo za injili zinatumia umeme kidogo ila. hip hop inakula. umeme sana.
Vipi ukisikiliza "mahubiri" vs muziki wa injili..!
Ipi inakula zaidi umeme..!?
hahaha huu ni utani au point ya kweli?
fridge ipo ndani, chumba kina hewa nzuri tu na fridge nimelibanishia kwenye pembe za ukuta
fridge haitakiwi kubana ukutani, inabidi pawe na distance kidogo kama 8".
umeme luku kwangu ni majanga...kwa mfano wa elfu 35 nimepata units 93 kwangu unakaa wiki 2 tu na sina zaidi ya friji na taa hizi energy server na tv basi. umeme unanipa homa sana na hizi nyumba za watu za kupanga namueleze mwenye nyumba ndo kwanza haniskii
Kwa kuongezea kuna utafauti kati ya. kusikiliza nyimbo za injili zinatumia umeme kidogo ila. hip hop inakula. umeme sana.