Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

Wakimlipa kwanini asiwatetee? Hiyo ndio Kazi yake unataka wakimuomba awakatalie. Wanasheria hawako hivyo
 
Boss Martin George Umechemka kuandika. Uwe unatumia Ubongo kabla haujaandika kitu au kusema kitu.

Nipe Majukumu ya MwanaSheria na Kazi zake. Mh. Tundu Lissu ni MwanaSheria kama haujui.

Kwa namna mambo yanavyokwenda, endapo Chenge na wenzake watapandishwa kizimbani haitashangaza kumuona Lissu mahakamani akiwatetea kama wakili wao. Naweka tahadhari tu makamanda msinishambulie!
 
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.

Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya dhahabu.

Kwa upande wangu nilimuona alitumia lugha kali sana na alikuwa na ghadhabu. Nilijiuliza sana kuhusu mchango alioutoa na ghadhabu alizoonyesha. Imebidi nijaribu kufuatilia misismamo yake, huu ni mtazamo wangu tu.

Nilianza kumfahamu Tundu Lissu mwaka 1997 alipokuwa akifanya kazi LEAT na alifaya kazi nyingi na baadhi zililisaidia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira, NEMC wakati huo mimi nilikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.Ni mwanasheria mzuri sana. Na sijasikia kashifa yoyote juu yake. Nilimweshimu sana kipindi hicho.

Nikiwa Mbunge kupitia CCM 2005-2010 moja wa wabunge walionivutia katika michango yao hasa kuhusu kupiga vita ufisadi alikuwa ni Lissu, Dk Slaa na Zitto Kabwe. Walikuwa upinzani lakini walikuwa wanajenga hoja vizuri.Walipokuwa wakijenga hoja juu ya ufisadi, hawakuacha kumtaja Lowassa.

Mwaka 2015 wakati Lowassa anahamia Chadema kutoka CCM nilipata taabu kubwa nilipomwona Tundu Lissu akiwa ndiye alikuwa akimtetea Lowassa kuhamia Chadema na akimlaumu Dk Slaa.

Wakati wa kampeni 2015 UKAWA ilikuwa na kazi ngumu kuwashawishi watanzania kuhusu suala la ufisadi. Ajenda ya ufisadi ikafa. Uchaguzi ukafanyika, watanzania wakaamua waendelee kuongozwa na CCM. CCM ikaunda serikali.

Serikali ya CCM chini ya uongozi wa John Pombe Magufuli (JPM) ikaanza kushughulikia suala la ubadhirifu, uzembe, na maadili kwa watumishi wa umma. Watumishi wengi walichukuliwa hatua kali na serikali ya CCM chini ya uongozi wa JPM. Mtakumbuka, kuna kiongozi a;liyekuwa analipwa mishahara 17.

Mtakumbuka uozo kwenye bandari ya Dar es salaam.Na mtakumbuka kwamba walipatikana wafanya kazi hewa zaidi ya elfu 10, wanafunzi hewa na suala la madawa ya kulevya.

Tundu Lissu na Chadema walilalamika juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali, wakisema bwatu hao waliochukuliwa hatua wanaonewa au utaratibu uliotumika ni mbovu. Mashaka yangu juu ya Mheshimiwa Tundu Lissu yakazidi kuwa makubwa.

Lakini pia mtakumbuka kuhusu suala la UKUTA. Wabunge wa UKAWA walikuwa wakifunga midomo wakiwa bungeni wakidai demokrasia pana. Lakini kwa sasa ni dhahiri kwa watu wengi kuwa ndani ya CCM kuna demokrasia pana kuliko ndani ya Chadema.

Hili limedhibitishwa na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. CCM ilifanya mchakato wa kidemokrasia kuwapata wabunge wa Afrika Mashariki kuliko ilivyokuwa ndani ya Chadema.

Haya yote yaliyofanyika ndani ya Chadema Lissu akiwemo na ni mwanasheria Mkuu wa Chadema. Ninaanza kujiridhisha kwamba Mheshimiwa Tundu Lissu siye niliyemfahamu.

Rais John Pombe Magufuli amedhubutu kuchukua hatua juu ya upotevu wa mapato yaliyotokana na kupelekwa makinikia nje ya nchi na kuagiza uchunguzi ufanyike. Ripoti ya uchunguzi imefichua ufisadi wa kutisha kwenye usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Watanzania wengi wazalendo waliosikiliza ripoti hiyo wameumia sana kwa taarifa zilizomo kwenye ripoti hiyo.

Watanzania tumenyonywa kiasi cha kutosha.
Mliopata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu, amesema Rais amefanya jambo la hovyo sana. Na alionekana kukasirika sana.Hiki kimenishitua sana na ninashawishika kuamini kwamba Lissu hayuko sawa, ana ulemavu usioonekana kwa macho. Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini amekosa roho ya kuipenda nchi yake, amekosa chembe ya roho ya uzalendo.

Ninaamini vyama vya siasa vinatakiwa kuungana katika masuala ambayo yana maslahi mapana kitaifa kama hili suala la makinikia kupelekwa nje ya nchi. Aidha, wataalamu wanatakiwa kujitokeza kutoa ushauri namna ya kuboresha ripoti iliyotolewa na kuisaidia serikali ili iweze kuisaidia serikali kuchukua hatua sitahiki.
Lakini Tundu Lissu alikebehi au kudhihaki hatua ikliyochukuliwa na serikali.

Wapo watanzania wengi nwaliomwamini sana Tundu Lissu na wanataabika na misimamo yake ya hivi karibuni kama ninavyotaabika. Na ni kweli pia kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015, Chadema ilikuwa tumaini la watanzania wengi. Lakini kwa sasa, ni vigumu kuelewa Chadema kama chama kinapigania nini au ajenda yake ni nini. Chadema imepoteza mwelekeo na inapoteza fursa ya kushika dola.

Hivi ww mzee hujafa tu?
 
Politics ni ngumu sana!

Ni uwezo wa kusema jambo fulani litatokea. Then baada ya wiki, mwezi, mwaka nk lisitokee.Na baada ya hapo uje kuwaeleza watu kuwa ni kwanini halikutokea, na watu wakuelewe-Ni tafsiri ya Neno Siasa iliyopata kutolewa na Sir Winston Lameck Churchil (Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza).

Anachokifanya Lisu ni kuwa kama kiungo Chumvi katika chakula.Akiwa deep sana hatutomuelewa na asipokuwa deep hatotomuelewa pia.Hivyo jambo la pekee aliloliamua ni Kutokueleweka.

Usipomuelewa ni sawa, pia ukimuelewa ni sawa.

Nimeupenda sana mchango wako huu....

Lakini you are too philosophical brother/sister...!

Put this in a simple and understandable language ili kila mtu akuelewe...

Na swali kubwa ni hili;

1. Do you real mean what you have just written here?

2. Ni kweli Tundu Lissu husema ama huandika kuhusu jambo fulani just for the sake ya mtu aelewe au asielewe na hivyo kwake (Tundu Lissu) hilo linakuwa sawa tu?

NB: In my opinion, hii ni opinion ama assumption yako tu kwa sababu naturally kila mtu husema ama huandika juu ya jambo fulani ili aeleweke kwa anaosema ama kuzungumza nao...

Kuelewa ama kutoelewa kwa mtu, kuhusu linalosemewa/kuandikiwa na muhusika hubaki katika uwezo wa hadhira ama mtu mmoja mmoja...

KWA HIYO: Katika scenario hii, ni wazi Fred Mpendazoe tunamweka kwenye kundi la watu la watu ambao hawamwelewi Tundu Lissu japo anajinasibu kumwelewa...!!
 
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.

Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya dhahabu.

Kwa upande wangu nilimuona alitumia lugha kali sana na alikuwa na ghadhabu. Nilijiuliza sana kuhusu mchango alioutoa na ghadhabu alizoonyesha. Imebidi nijaribu kufuatilia misismamo yake, huu ni mtazamo wangu tu.

Nilianza kumfahamu Tundu Lissu mwaka 1997 alipokuwa akifanya kazi LEAT na alifaya kazi nyingi na baadhi zililisaidia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira, NEMC wakati huo mimi nilikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.Ni mwanasheria mzuri sana. Na sijasikia kashifa yoyote juu yake. Nilimweshimu sana kipindi hicho.

Nikiwa Mbunge kupitia CCM 2005-2010 moja wa wabunge walionivutia katika michango yao hasa kuhusu kupiga vita ufisadi alikuwa ni Lissu, Dk Slaa na Zitto Kabwe. Walikuwa upinzani lakini walikuwa wanajenga hoja vizuri.Walipokuwa wakijenga hoja juu ya ufisadi, hawakuacha kumtaja Lowassa.

Mwaka 2015 wakati Lowassa anahamia Chadema kutoka CCM nilipata taabu kubwa nilipomwona Tundu Lissu akiwa ndiye alikuwa akimtetea Lowassa kuhamia Chadema na akimlaumu Dk Slaa.

Wakati wa kampeni 2015 UKAWA ilikuwa na kazi ngumu kuwashawishi watanzania kuhusu suala la ufisadi. Ajenda ya ufisadi ikafa. Uchaguzi ukafanyika, watanzania wakaamua waendelee kuongozwa na CCM. CCM ikaunda serikali.

Serikali ya CCM chini ya uongozi wa John Pombe Magufuli (JPM) ikaanza kushughulikia suala la ubadhirifu, uzembe, na maadili kwa watumishi wa umma. Watumishi wengi walichukuliwa hatua kali na serikali ya CCM chini ya uongozi wa JPM. Mtakumbuka, kuna kiongozi a;liyekuwa analipwa mishahara 17.

Mtakumbuka uozo kwenye bandari ya Dar es salaam.Na mtakumbuka kwamba walipatikana wafanya kazi hewa zaidi ya elfu 10, wanafunzi hewa na suala la madawa ya kulevya.

Tundu Lissu na Chadema walilalamika juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali, wakisema bwatu hao waliochukuliwa hatua wanaonewa au utaratibu uliotumika ni mbovu. Mashaka yangu juu ya Mheshimiwa Tundu Lissu yakazidi kuwa makubwa.

Lakini pia mtakumbuka kuhusu suala la UKUTA. Wabunge wa UKAWA walikuwa wakifunga midomo wakiwa bungeni wakidai demokrasia pana. Lakini kwa sasa ni dhahiri kwa watu wengi kuwa ndani ya CCM kuna demokrasia pana kuliko ndani ya Chadema.

Hili limedhibitishwa na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. CCM ilifanya mchakato wa kidemokrasia kuwapata wabunge wa Afrika Mashariki kuliko ilivyokuwa ndani ya Chadema.

Haya yote yaliyofanyika ndani ya Chadema Lissu akiwemo na ni mwanasheria Mkuu wa Chadema. Ninaanza kujiridhisha kwamba Mheshimiwa Tundu Lissu siye niliyemfahamu.

Rais John Pombe Magufuli amedhubutu kuchukua hatua juu ya upotevu wa mapato yaliyotokana na kupelekwa makinikia nje ya nchi na kuagiza uchunguzi ufanyike. Ripoti ya uchunguzi imefichua ufisadi wa kutisha kwenye usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Watanzania wengi wazalendo waliosikiliza ripoti hiyo wameumia sana kwa taarifa zilizomo kwenye ripoti hiyo.

Watanzania tumenyonywa kiasi cha kutosha.
Mliopata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu, amesema Rais amefanya jambo la hovyo sana. Na alionekana kukasirika sana.Hiki kimenishitua sana na ninashawishika kuamini kwamba Lissu hayuko sawa, ana ulemavu usioonekana kwa macho. Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini amekosa roho ya kuipenda nchi yake, amekosa chembe ya roho ya uzalendo.

Ninaamini vyama vya siasa vinatakiwa kuungana katika masuala ambayo yana maslahi mapana kitaifa kama hili suala la makinikia kupelekwa nje ya nchi. Aidha, wataalamu wanatakiwa kujitokeza kutoa ushauri namna ya kuboresha ripoti iliyotolewa na kuisaidia serikali ili iweze kuisaidia serikali kuchukua hatua sitahiki.
Lakini Tundu Lissu alikebehi au kudhihaki hatua ikliyochukuliwa na serikali.

Wapo watanzania wengi nwaliomwamini sana Tundu Lissu na wanataabika na misimamo yake ya hivi karibuni kama ninavyotaabika. Na ni kweli pia kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015, Chadema ilikuwa tumaini la watanzania wengi. Lakini kwa sasa, ni vigumu kuelewa Chadema kama chama kinapigania nini au ajenda yake ni nini. Chadema imepoteza mwelekeo na inapoteza fursa ya kushika dola.
Huyu babu sasahivi yuko wapi?
 
Sio Lissu wala Magufuli anayeweza kupambana na ufisadi.
Lissu alionyesha hilo alipomgeuka Dr. Slaa na kuambatana na mtu aliyemwita fisadi wakati Magufuli naye ana tuhuma za kifisadi kwa kifupi Tanzania bado wana safari ndefu kupata kiongozi anayechukia ufisadi toka moyoni
 
Sio Lissu wala Magufuli anayeweza kupambana na ufisadi.
Lissu alionyesha hilo alipimgeuka Dr. Slaa na kuambatana na mtu aliyemwita fisadi wakati Magufuli naye ana tuhuma za kifisadi kwa kifupi Tanzania bado wana safari ndefu kupata kiongozi anayechukia upinzani toka moyoni
Kwa hiyo wataka kiongozi anaechukia upinzani (badala ya ufisadi)? Au umejichanganya?
 
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.

Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya dhahabu.

Kwa upande wangu nilimuona alitumia lugha kali sana na alikuwa na ghadhabu. Nilijiuliza sana kuhusu mchango alioutoa na ghadhabu alizoonyesha. Imebidi nijaribu kufuatilia misismamo yake, huu ni mtazamo wangu tu.

Nilianza kumfahamu Tundu Lissu mwaka 1997 alipokuwa akifanya kazi LEAT na alifaya kazi nyingi na baadhi zililisaidia Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira, NEMC wakati huo mimi nilikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu.Ni mwanasheria mzuri sana. Na sijasikia kashifa yoyote juu yake. Nilimweshimu sana kipindi hicho.

Nikiwa Mbunge kupitia CCM 2005-2010 moja wa wabunge walionivutia katika michango yao hasa kuhusu kupiga vita ufisadi alikuwa ni Lissu, Dk Slaa na Zitto Kabwe. Walikuwa upinzani lakini walikuwa wanajenga hoja vizuri.Walipokuwa wakijenga hoja juu ya ufisadi, hawakuacha kumtaja Lowassa.

Mwaka 2015 wakati Lowassa anahamia Chadema kutoka CCM nilipata taabu kubwa nilipomwona Tundu Lissu akiwa ndiye alikuwa akimtetea Lowassa kuhamia Chadema na akimlaumu Dk Slaa.

Wakati wa kampeni 2015 UKAWA ilikuwa na kazi ngumu kuwashawishi watanzania kuhusu suala la ufisadi. Ajenda ya ufisadi ikafa. Uchaguzi ukafanyika, watanzania wakaamua waendelee kuongozwa na CCM. CCM ikaunda serikali.

Serikali ya CCM chini ya uongozi wa John Pombe Magufuli (JPM) ikaanza kushughulikia suala la ubadhirifu, uzembe, na maadili kwa watumishi wa umma. Watumishi wengi walichukuliwa hatua kali na serikali ya CCM chini ya uongozi wa JPM. Mtakumbuka, kuna kiongozi a;liyekuwa analipwa mishahara 17.

Mtakumbuka uozo kwenye bandari ya Dar es salaam.Na mtakumbuka kwamba walipatikana wafanya kazi hewa zaidi ya elfu 10, wanafunzi hewa na suala la madawa ya kulevya.

Tundu Lissu na Chadema walilalamika juu ya hatua zilizochukuliwa na serikali, wakisema bwatu hao waliochukuliwa hatua wanaonewa au utaratibu uliotumika ni mbovu. Mashaka yangu juu ya Mheshimiwa Tundu Lissu yakazidi kuwa makubwa.

Lakini pia mtakumbuka kuhusu suala la UKUTA. Wabunge wa UKAWA walikuwa wakifunga midomo wakiwa bungeni wakidai demokrasia pana. Lakini kwa sasa ni dhahiri kwa watu wengi kuwa ndani ya CCM kuna demokrasia pana kuliko ndani ya Chadema.

Hili limedhibitishwa na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. CCM ilifanya mchakato wa kidemokrasia kuwapata wabunge wa Afrika Mashariki kuliko ilivyokuwa ndani ya Chadema.

Haya yote yaliyofanyika ndani ya Chadema Lissu akiwemo na ni mwanasheria Mkuu wa Chadema. Ninaanza kujiridhisha kwamba Mheshimiwa Tundu Lissu siye niliyemfahamu.

Rais John Pombe Magufuli amedhubutu kuchukua hatua juu ya upotevu wa mapato yaliyotokana na kupelekwa makinikia nje ya nchi na kuagiza uchunguzi ufanyike. Ripoti ya uchunguzi imefichua ufisadi wa kutisha kwenye usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Watanzania wengi wazalendo waliosikiliza ripoti hiyo wameumia sana kwa taarifa zilizomo kwenye ripoti hiyo.

Watanzania tumenyonywa kiasi cha kutosha.
Mliopata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu, amesema Rais amefanya jambo la hovyo sana. Na alionekana kukasirika sana.Hiki kimenishitua sana na ninashawishika kuamini kwamba Lissu hayuko sawa, ana ulemavu usioonekana kwa macho. Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri sana lakini amekosa roho ya kuipenda nchi yake, amekosa chembe ya roho ya uzalendo.

Ninaamini vyama vya siasa vinatakiwa kuungana katika masuala ambayo yana maslahi mapana kitaifa kama hili suala la makinikia kupelekwa nje ya nchi. Aidha, wataalamu wanatakiwa kujitokeza kutoa ushauri namna ya kuboresha ripoti iliyotolewa na kuisaidia serikali ili iweze kuisaidia serikali kuchukua hatua sitahiki.
Lakini Tundu Lissu alikebehi au kudhihaki hatua ikliyochukuliwa na serikali.

Wapo watanzania wengi nwaliomwamini sana Tundu Lissu na wanataabika na misimamo yake ya hivi karibuni kama ninavyotaabika. Na ni kweli pia kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015, Chadema ilikuwa tumaini la watanzania wengi. Lakini kwa sasa, ni vigumu kuelewa Chadema kama chama kinapigania nini au ajenda yake ni nini. Chadema imepoteza mwelekeo na inapoteza fursa ya kushika dola.
Pole sana.,naona umekumbuka blanket alfajiri.

Mkuu nimeona kwenye makala yako pendwa lack of OBJECTIVITY & PARTICULARITY 🤣🤣🤣 Ni aibu kwa watu waliofaulu kwenda shule "KUTIA AKILI MFUKONI "

😁😅😃🤣🤣🤣🤣
 
Pitia hapo utamwelewa kwa kiasi.
 
Kijana Jenga hoja,yaani ukishindwa hoja unataka mtoa hoja afe.Ile Chadema ya hoja imeenda wapi?

Huyo mzee alikuwa anajenga hoja au alikuwa anatengeneza mazingira ya kupewa cheo na Magufuli? Siku hizi baada ya kukosa alichotegemea, umemuona tena akija na hizi makala zake dhidi ya upinzani? Tazama huo uzi ni wa lini.
 
Mpendazoe utatafuta pa kujificha na kuficha uso wako trailer hi hapa Kama haikutoshi nikushushie vidio
IMG_20200921_120422.jpg
 
Back
Top Bottom