Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,626
Mbona hakuna namba moja....?! Ama ni METICAIS ya Mozambique...?
Ni Tanzania mkuuNamba 1 iko wapi, chanzo?
Dina Marius?( Kwa sauti ya Mkude Simba)1: Dinar – Libya (1$= 1.4116)
Dinar ambayo ni fedha ya Libya inakamata nafasi ya kwanza kwa kuwa fedha yenye thamani na nguvu kubwa barani Afrika ambapo Dola moja hubadilishwa kwa Dinar 1.4116.