Kachangamtoto
Member
- Dec 4, 2012
- 82
- 28
Nini kifanyike sarafu ya tanzania ipande samani?? Wanauchumi tupen data
Watakuja hapa kutoka povu wakati hata hapo msumbiji hawajafika..Umeongea pointi nzuri sana.Nimebahatika kuishi Congo DR,Ghana,Senegal,Mali.Kwenye nchi hizi unakuta fedha zao zina nguvu kuliko za Bongo.Lakini nikawa nashangaa nikibadilisha $ 100 kwenye nchi hizi bikaenda dukani unanunua vitu viko juu sana wakati bongo dola mia unafanya shopping hatari.Lumbumbashi,Dakar,Bamako,Accra hotel ya dola 100 (200,000 hivi) huku bongo ndiyo hotel za 30,000 hadi 50,000.TZ tuko vizuri ila hadi utoke nje huko uangalie na wengine.Kwa Afrika humu Tanzania iko mbali sana,nchi nyingi za Afrika ziko hoi,kazi huwa zinanifikisha vijijini huko.Ukienda Central afrika pale utatokwa machozi maisha ya watu .Mungu ibariki Tabzania
"Masomo niliyoyasomea yananitaka nifanye kazi remote areas kwa hiyo ninchokisema hapa siyo cha kishabiki.Naandika comment hii nikiwa Mpanda vijijini ndani huku.Tuna matatizo sawa sasa najaribu kulinganisha haya ya kwetu na nchi ambazo nimepita kwenye mazingira ya kufanana.Nimepita vijiji vya Congo DR,Central Africa,Togo,Ghana,Benin Burkina Faso,Ghana,Mali,Zambia,Senegal,Uganda,na sehemu za Afrika ya kusini Sasa nalinganisha maisha ya raia wa huko na sisi.Kusema kweli Viongozi wetu wa serikali wamejitahidi sana yaani sana.Nikupe mfano mdogo:Kutoka Lubumbashi kwenda Kinshasha ni mwendo wa saa 2 hivi kwa ndege.Ukitumia barabara na Landcruiser mpya hizi 71 series unatumia siku 30 kutoka Lubumbashi hadi Kinshasha na uwe na spare tyres kama 30.Ile barabara ni Makorongo kwa kwenda mbele.Narudia tena,Tanzania tuko vizuri kwa kulinganisha na nchi nyingine za Kiafrika.Mungu ibariki Tanzania.Hata vijijini hapa Wadanganyikaland nako unatokwa machozi maisha ya watu. Watu wanakunywa maji ya mtoni pamoja na mifugo na wanyamapori? Wanalala kwenye makeshift huts?
Tanzania Shillings
1Kg ya maharagwe sawa na Dollar 1.5.
Shilling inaendelea kuimarishwa kwa uchumi wa viwanda
TZS 10,000 iwe new TZS 10Ghana na Zambia wanashusha fedha zao baada ya inflation rate kuwa kubwa na hata Congo DR kama alivyopendekeza dada FaizaFoxy kwamba Sh.10,000 tuibadili isomeke Sh 10
Kila mtu na fani yake wachumi watatusaidia hapa mm niliandika baada ya kusoma mahaliTZS 10,000 iwe new TZS 10
Tzs 5,000 iwe new TZS 5
Tzs 1,000 iwe new TZS 1.
Tupeane ramani mkuuUmeongea pointi nzuri sana.Nimebahatika kuishi Congo DR,Ghana,Senegal,Mali.Kwenye nchi hizi unakuta fedha zao zina nguvu kuliko za Bongo.Lakini nikawa nashangaa nikibadilisha $ 100 kwenye nchi hizi bikaenda dukani unanunua vitu viko juu sana wakati bongo dola mia unafanya shopping hatari.Lumbumbashi,Dakar,Bamako,Accra hotel ya dola 100 (200,000 hivi) huku bongo ndiyo hotel za 30,000 hadi 50,000.TZ tuko vizuri ila hadi utoke nje huko uangalie na wengine.Kwa Afrika humu Tanzania iko mbali sana,nchi nyingi za Afrika ziko hoi,kazi huwa zinanifikisha vijijini huko.Ukienda Central afrika pale utatokwa machozi maisha ya watu .Mungu ibariki Tabzania
Ukiwa hospitali kwenye wodi ya mapumziko unaweza kujiona wewe unaumwa sana.. tena unaweza kuwa unalalamika madaktari hawakupi huduma nzuri.. ila inuka uende wodi ya wagonjwa mahututi utarudi ukishukuru Mungu.."Masomo niliyoyasomea yananitaka nifanye kazi remote areas kwa hiyo ninchokisema hapa siyo cha kishabiki.Naandika comment hii nikiwa Mpanda vijijini ndani huku.Tuna matatizo sawa sasa najaribu kulinganisha haya ya kwetu na nchi ambazo nimepita kwenye mazingira ya kufanana.Nimepita vijiji vya Congo DR,Central Africa,Togo,Ghana,Benin Burkina Faso,Ghana,Mali,Zambia,Senegal,Uganda,na sehemu za Afrika ya kusini Sasa nalinganisha maisha ya raia wa huko na sisi.Kusema kweli Viongozi wetu wa serikali wamejitahidi sana yaani sana.Nikupe mfano mdogo:Kutoka Lubumbashi kwenda Kinshasha ni mwendo wa saa 2 hivi kwa ndege.Ukitumia barabara na Landcruiser mpya hizi 71 series unatumia siku 30 kutoka Lubumbashi hadi Kinshasha na uwe na spare tyres kama 30.Ile barabara ni Makorongo kwa kwenda mbele.Narudia tena,Tanzania tuko vizuri kwa kulinganisha na nchi nyingine za Kiafrika.Mungu ibariki Tanzania.
Tuko mbali kwa maana ipi kwamba Hotel ni bei ya chini au nini maana hata hapa ukienda vijijini unatokwa machoziUmeongea pointi nzuri sana.Nimebahatika kuishi Congo DR,Ghana,Senegal,Mali.Kwenye nchi hizi unakuta fedha zao zina nguvu kuliko za Bongo.Lakini nikawa nashangaa nikibadilisha $ 100 kwenye nchi hizi bikaenda dukani unanunua vitu viko juu sana wakati bongo dola mia unafanya shopping hatari.Lumbumbashi,Dakar,Bamako,Accra hotel ya dola 100 (200,000 hivi) huku bongo ndiyo hotel za 30,000 hadi 50,000.TZ tuko vizuri ila hadi utoke nje huko uangalie na wengine.Kwa Afrika humu Tanzania iko mbali sana,nchi nyingi za Afrika ziko hoi,kazi huwa zinanifikisha vijijini huko.Ukienda Central afrika pale utatokwa machozi maisha ya watu .Mungu ibariki Tabzania
Wewe nawe unatoa povu Tanzania tunafanya vizuri kuliko Nani? Au kwakuwa jamaa katoa mifano ya Vinchi ambavyo hata watu wa Bodaboda wanaweza kwenda kutupa mawe Ikulu ndio useme tunanafuuWatakuja hapa kutoka povu wakati hata hapo msumbiji hawajafika..
Tanzania tunafanya vizuri sana kiuchumi kwa nchi za Africa.. kuwa na fedha yenye thamani haimaanishi uchumi upo vizuri.. hata sisi pesa yetu ilikuwa na thamani miaka ile ya fixed exchange rate ila uchumi ulikuwa hoi.
Kuwa na fedha yenye thamani ndogo ni advantage kwa kuwa unavutia exports.. na hicho China walikifanya kwa kushusha thamani ya fedha zao ili wapate exports kubwa.
Sisi Tanzania ndio tunauzia chakula nchi nyingi zinazotuzunguka na nyingi ni zenye pesa ya thamani kubwa i.e. Zambia, Kenya etc.. sisi kuwa na pesa yenye thamani ndogo imepelekea mazao yetu kupata soko huko nje ya nchi..
Wanaoelewa wameelewa..
Maisha yao ni Magumu au ni ghali?Nimeishi Nairobi, Ela yao iko na Thamani kuliko Tanzania lakini Maisha yao ni magumu mno...Nikarudi fasta Bongo...
Kuna Tofauti kubwa kati ya unafuuu wa Maisha na Thamani ya Fedha...
Ni ghali na Magumu ...Kuishi mjini unatakiwa kuwa na akili nyingi ns uwe unapenda kufanya kazi kweli...Kuna mitaa ya Uswahilini Dar afadhali...Maisha yao ni Magumu au ni ghali?
Maisha ya Nairobi ni ghali sio magumu wewe ukienda na hela zako za Bongo unakimbia sasa ukienda Kinshasa hadi balozi wetu anabeba chakula nyumbani hapafaiNi ghali na Magumu ...Kuishi mjini unatakiwa kuwa na akili nyingi ns uwe unapenda kufanya kazi kweli...Kuna mitaa ya Uswahilini Dar afadhali...
Ugumu wa Maisha ni nn???...Vitu gani vinasababisha ugumu wa Maisha??...Kuns uhusiano Wowote wa ugumu wa Maisha na Vitu kuwa ghali???Maisha ya Nairobi ni ghali sio magumu wewe ukienda na hela zako za Bongo unakimbia sasa ukienda Kinshasa hadi balozi wetu anabeba chakula nyumbani hapafai
Kipato chao ni kikubwa wakati kipato chako kidogo sasa ukifika kule unashindwa. Mfano Nairobi parking ni Ksh 300 na gari zimejaa hapo Dar ni shilingi ngapi kwa siku na watu wanaliaUgumu wa Maisha ni nn???...Vitu gani vinasababisha ugumu wa Maisha??...Kuns uhusiano Wowote wa ugumu wa Maisha na Vitu kuwa ghali???