ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,737
- 16,636
Serikali imeruhusu kutembea usiku ila wallahi madereva wa mabasi wameharibu sana.
Kama ni mtu wa kuendesha safari ndefu usiku utakuwa unanielewa, hatuna tena utulivu barabarani anytime basi inakuingia.
Madereva wa mabasi hawana camaraderie ya kuendesha usiku. Hawastahili privilege hiyo.