Fahamu immobilizer system kwenye gari

Je mwizi mzoefu akiingia ndani ya fency yako usiku na security yako ya gari ni silency anaweza kuiba gari akiwa mtundu?
 
Kwa gari zenye ufunguo wa sensor hawezi,maana ina process ndefu ya kufanya programming. Inachukua masaa mawil hadi sita kwa baadhi ya gari
548bb8f5579bb5e1a1d55f334f11b4f0.jpg
3c7d96022e2f574b8d24eb226b56fa0c.jpg
 
Nadhani hapo immobilizer haina kazi maana mijizi ikiiba tuvitz twetu wanakuja kwenu TWAFAAAAA

Huwez fanya Programming ya funguo bila kutoa vifaa kwenye gari mkuu,mwizi akiiba ina maana kaiba na funguo yake so haitaji kufanya programming.
 
Hakuna kinacho shindikana hata kama funguo imepotea bado, ndio maana tunasema kuprogram engine control , switch l, ukinipatia hivyo nakutengenezea funguo upya kabisa
 
Inawezekana,ila itahitaji mpaka ubadili mfumo mzima wa umeme wa gari na uweke mfumo mwingine kutoka kwenye gar ambayo haitumii immobilizer
mkuu nilikuamini sana lakini sasa mbona kwa hili jibu naanza kupoteza imani na ww?? unapozungumza tambua kuna wengine tunauelewa kidogo sana na niwakina mr tomaso sana.
 
Inawezekana,ila itahitaji mpaka ubadili mfumo mzima wa umeme wa gari na uweke mfumo mwingine kutoka kwenye gar ambayo haitumii immobilizer
sasa mkuu hapo kama ni mpaka ubadili mfumo wote mbona mm naufundi wangu wa kuunga unga na sinautaalam sana na kuprogram funguo lkn hizo ishu huwa nazifanya sana na nini maana ya IMMO OFF?? mfano toyota passo mwanzo wakati zinaingia mafundi wa kuprogram walikuwa wanatuonea sana.lkn baadae ikawa rahisi ikiigoma kuwaka option ni mbili tuu kuiwezesha kuwaka bila immobilizer au ubadili control box ufunge ambayo haina immobilizer au unachukua ile ile yenye immobilizer na kuweka immo off .mm binafsi nilisha chukua control box ambayo haina immobilizer nikatoa eeprom yake nika copy data zake mtu akija na box yenye immo na copy tu hilo file basi??
 
hivi mkuu kibongo bongo naweza pata kweli mtu wa kunifundisha hiyo kitu?? sitaki kufundishwa kuprogram kwa kucopy na kupaste .but mm nataka niandike data mwenyewe inamaana niwe naweza kutengeneza file mwenyewe kwa kuandika kwenye eeprom na chip ya kwenye funguo.

sijui kama utakuwa umenielewa mkuu labda nikupe mfano huu. nikupe eeprom ya kwenye dash board ambayo ni mpya haina data hata moja then nikwambie uniandikie data ilinikiweka eeprom kwenye cluster isome 967208KM trip A 380 Trip B 100. ndio kitu nataka mm kufaham hivyo mkuu
 
Kwa bongo sina uhakika,ila hivyo unavo taka ww ni mpaka ujifunze maswala ya programming kwenye computer kwa language kama c++ ili ielewe mambo ya binary na bits.
Kwa ushauri,hivo unavotaka ww ilikua inatumika zamani,maana hata anko wangu alie nifundisha haya maswala ya Programming nakumbuka alianza na Programming ya funguo za benz na software hazikuwepo kama sasa alikua anatumia karatasi kuandika data manualy then anazirudia kwenye computer ambayo ilikua ni process ndefu.funguo moja kwa mtindo huo unautaka alikua anatumia siku nne had wiki. Kwa ushauri tu bora utumie software maana zimewekwa kurahisisha kazi cha muhimu ni kuelewa tu jinsi gani zinafanya kazi.
Ila kama unahitaji kwa madhumuni na ww utengeneze software zako ni lazima usome computer programming especially c++ language maana ndo inayotumika kutengenezea hizi software na files kwenye eeprom.
 
mkuu huwa sipendi kuyumbishwa yumbishwa unajua tatizo wanao uza hizo mashine na softwere ni biashara hivyo kila mda au kazi inakupasa uwe unanunua tuu.lakini ukifaham how zinafanya kazi ni rahisi unaweza na ww ukatengeneza ya kwako au zile zile za kwao ukazipindua na kuongeza manjonjo.wao kwanza walipita njia ndefu then sisi twaanza na njia fupi kamwe hatuwezi fika zaidi ya kila siku kusubilia maelekezo ya njia ipi tupite ili tufike.na chakusikitika kwa masuala hayo ya magari kwa bongo hakuna hata vyuo vinavyofundisha na hata wabongo wenye ufaham nao ni wabinafsi sana
 
Ni kweli kaka,hilo linawezekana ila ndo mpka uanzie kwenye computer programming na electronic kwa sababu hizi mashine zote na software walotengeneza na ma IT ,kwa mfano Alietengeneza Tango au Tmpro hawa jamaa ni graduate wa IT,na machine zao zilisha shindikana kukopy hata mchina kachemsha.
 
Back
Top Bottom