kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
Labda aamue kujitaja mwenyewe..Sijui nani atakuja kumjali mlaji wa mwisho Tanzania.
Labda aamue kujitaja mwenyewe..Sijui nani atakuja kumjali mlaji wa mwisho Tanzania.
mkuu mafuta pia yananunuliwa kwa usd currency yetu against usd inaweza ikawa kikwazo pia bei isishuke
Kila ninapoiona NEMBO ya EWURA Mahali popote pale nashikwa na HASIRA... EWURA HAIJAWAHI KUFANYA KAZI HATA SIKU MOJA ILIYOWANUFAISHA WATANZANIA KWA UJUMLA HASA HUKU KWENYE MAFUTA AMINI USIAMINI KWA MIAKO YOTE HIYO.
Mafuta yatashuka mwezi March sasa hivi tunatumia mafuta ya mwezi November 2015
Maana yake ni kuwa wana charge fixed rate kwa hiyo lita 1.
Kwa mfano: 1L = TZS 100. Hiyo TZS 100 inakuwa fixed. Yaani kama capacity charge vile. Sisi watumiaji wa mafuta ndio tunailipia.
Mkurugenzi wa Ewura anasema Watanzania wanalalama hatujui kitu na pili anasema yanayoshuka ni mafuta ghafi si mafuta masafi..yangekuwa yanauzwa mafuta masafi pekee katika soko la dunia nadhani kwa mfumo wa Ewura tusingeweza kununua yangekua ghari sana..Hao Ewura hawajui kitu chochote waondoke tuu mimi sioni Faida ya wao kuwepo..
Swali zuri sana. Pokea likembona ikipanda na wenyewe hupandisha mara moja!!